Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwasababu kila Mtanzania mwenye sifa na vigezo, anayo haki kugombea nafasi yoyote ya uongozi.Kwanini?
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu kila Mtanzania mwenye sifa na vigezo, anayo haki kugombea nafasi yoyote ya uongozi.Kwanini?
Naam na uzuri 'Yesu' wetu hua akimuangalia mtu usoni anamwambia mtu huyu hata moyoni mwake anaonekana ametubu kabisaa.Siyo suala la kusifu na kuabudu vizuri, bali ni suala la usafi wa moyo.
Sasa kama unafikiri utaenda mbinguni kwa kusifu na kuabudu vizuri nakushauri tafakari vizuri njia zako.
Kazi Ya Ubunge Sifa Ni Kujua Kusoma Na KuandikaHivi CV ya Harmonize ikoje?
Yesu huona hadi ya sirini na gizani kiufupi hiwezi kumficha kitu!Naam na uzuri 'Yesu' wetu hua akimuangalia mtu usoni anamwambia mtu huyu hata moyoni mwake anaonekana ametubu kabisaa.
Mikataba yote iendelee kusainiwa Ikulu na maamuzii yote makubwa yabaki chini ya ikulu..Naunga mkono hoja
P
Lazima achangie? Anaweza asiongee hadharani mjengoni lakini akawa na uwezo wa kushawishi,kuchagiza,kuloby, kusimamia maagizo na utekelezaji and don't take for granted.Duh! Ngoja tuone kwenye kuchangia mambo ya bajeti
Itakuwaje
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwani kigezo cha kuwa mbunge si kujua kusoma na kuandika kwa lugha ya kiswahili na kiingereza? Eti Becky[emoji2]Watataka kumdisqualify kwa elimu yake, anasahau maprofesa ndio wametufikisha hapa...
Tangu lini Bunge letu linajadili mikataba?.Mikataba yote iendelee kusainiwa Ikulu na maamuzii yote makubwa yabaki chini ya ikulu..
taifa kama taifa hatuwezi kupeleka mambo mazito yajadiliwe na watu kama hawa...
Unamlinganisha Malcom X na harmonize mkuuMy life has been a chronology of changes - Malcom X. Aliyasema maneno hayo akikumbushia njia ndefu ya maisha yake ya siku za nyuma, aliwahi kuwa dalali wa wanawake (pimp), aliwahi kuwa jambazi. Baadae akawa mwanaharakati wa kimataifa.
Hakuna ubaya kwa Harmonise kuwa na ndoto za ubunge, pengine anaweza kuleta mabadiliko makubwa huko nyumbani alipozaliwa.
Kosa alifanya kangi kumfananisha masiha na binadamu wa dunia hii na wewe kwa ujuha unauendeleza.Itategemea na 'Yesu'atakavyoona inampendeza.
Unamlinganisha Malcom X na harmonize mkuu