Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

Cannabis, WCB watakuwa label moja matata sana.
Kuweza kumuokota
Kumkuza
Kumfanya awe star
Kumpa hadhi ya kuwa public servant
Sio kazi ndogo.
 
Kweli maana hata Sugu, prof Jay nilishangaa kupata ubunge kwa elimu waliyonayo
Ubunge uwe unajua kujenga hoja tu
Sugu na Jay asili yao ni watu wa kupambana mambo
Wako deep...
Labda harmonise Atakuwa amejifunza kitu kwao huwez jua

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hivi wale nilijua ni graduates. Ok ila mimi sikuwa katika uchama. Ni aibu mtu hata degree huna unagombea ubunge kwakuwa tu wewe ni maarufu.

Awe CHADEMA , CCM au CUF ningependa sheria iweke sifa za elimu kwa kila nafasi
Unaweza Ukawa graduate na Ukawa boya tu
Wangapi tunawaona huku

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
My life has been a chronology of changes - Malcom X. Aliyasema maneno hayo akikumbushia njia ndefu ya maisha yake ya siku za nyuma, aliwahi kuwa dalali wa wanawake (pimp), aliwahi kuwa jambazi. Baadae akawa mwanaharakati wa kimataifa.

Hakuna ubaya kwa Harmonise kuwa na ndoto za ubunge, pengine anaweza kuleta mabadiliko makubwa huko nyumbani alipozaliwa.
Kwli kabisa Kumbuka alipotoka alikuwa zerooo
Ila Sahv yuko level nyingine
Mziki wake anaufanya kimataifa...
Nahisi anaweza

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Msukuma anelimu gani?
La. 7 na anaendesha biashara kubwa tu
Hata yule sjui mwenye degree ya biznes ambaye hajawahi kuwa hata na duka na kujua biashara inafanyikaje
Hao wakina msukuma ni Aina ya watu wenye akili za kuzaliwa ndomana mpaka Leo wapo tu wamesimama

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
K

Lazima achangie? Anaweza asiongee hadharani mjengoni lakini akawa na uwezo wa kushawishi,kuchagiza,kuloby, kusimamia maagizo na utekelezaji and don't take for granted.
Kama alipata nafasi kuongea na Mkuu wa Nchi,basi nyota yake ni kubwa.
Sema nimewakubali maana Wana exposure Sahv hao

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kwa vile kazi kubwa ni kugonga meza, kuzomea, kukenua kenua, kusifia Serikali ,kutukana wapinzani na udaku ataweza tu.
 
Back
Top Bottom