DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,011
- 3,471
بسم الله الرحمن الرحيم
*((زكاة الفطر و صلاة العيد ))*
_(( Zakatatul-fitri na Swala ya Eid ))_
Kwanza tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa muendelezo wa Darsa letu hili la Ramadhani juu ya kueleza kile kichache tunacho kijua,
Mola ajaalie Amali hii aitakabalie na ikiwa kuna kosa atusamehe kutokana na mapungufu yetu ya ubinadamu.
**********************
Kabla ya Swala ya Eid kuna jambo ambalo ni Muhimu sana kwetu Waislamu ni wajibu kutekelezwa nalo ni kutoa Zakatul-Fitri.
عَنْ ابْنِ عَبَّاس رضي الله عنهما
*((قَالَ فَرَضَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ زَكَاةَ الْفِطْرِ طُهْرَةً لِلصَّائِمِ مِنْ اللَّغْوِ وَالرَّفَثِ وَطُعْمَةً لِلْمَسَاكِينِ مَنْ أَدَّاهَا قَبْلَ الصَّلاةِ فَهِيَ زَكَاةٌ مَقْبُولَةٌ وَمَنْ أَدَّاهَا بَعْدَ الصَّلاةِ فَهِيَ صَدَقَةٌ مِنْ الصَّدَقَاتِ .))*
" رواه أبو داود بِإِسْنَادٍ حَسَنٍ
Hadithi kutoka kwa Ibn ‘Abbaas (R.A) amesema:[emoji1484]
_((“Mtume(ﷺ)amefaridhisha Zakaatul-Fitwr kuwa ni twahaara ya mwenye kufunga kutokana na maneno ya upuuzi na machafu, na kulisha masikini._
_Atakayeitoa kabla ya Swalah basi hiyo ni Zakaah iliyotakabaliwa, na atakayeitoa baada ya Swalah basi hiyo ni miongoni mwa sadaka”))_
عَنْ وَكِيعٍ بْنِ الْجَرَّاحِ في المجموع للنووي
*(( زَكَاةُ الْفِطْرِ لِشَهْرِ رَمَضَانَ كَسَجْدَتِي السَّهْوِ لِلصَّلاةِ، تَجْبُرُ نُقْصَانَ الصَّوْمِ كَمَا يَجْبُرُ السُّجُودُ نُقْصَانَ الصَّلاةِ'))*
Faida ya Zakaa hii ni kua Zakatul-Fitri ni ya Mwezi wa Ramadhani ni kama Sijda mbili za Sahau katika Swalah,
Zakatul-fitri inaunga pungufu ziliopo katika ibada hii ya Swaum kama vile sijdatu-Sah-u inavyo unga pungufu ulopatikana katika Ibada ya Swalah.
---------------------
Hii ndio Faida kubwa ya Zakaa hii[emoji1484]
*(( على من تجب زكاة الفطر ))*
_((Anayewajibika Kutoa Zakaatul-Fitri ))_
*((عَنْ ابْنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَال فَرَضَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ زَكَاةَ الْفِطْرِ صَاعًا مِنْ تَمْرٍ أَوْ صَاعًا مِنْ شَعِيرٍ عَلَى الْعَبْدِ وَالْحُرِّ وَالذَّكَرِ وَالأُنْثَى وَالصَّغِيرِ وَالْكَبِيرِ مِنْ الْمُسْلِمِينَ وَأَمَرَ بِهَا أَنْ تُؤَدَّى قَبْلَ خُرُوجِ النَّاسِ إِلَى الصَّلاةِ ))*
صحيح البخاري
Amesema Ibn 'Umar (R.A):[emoji1484]
_(("Mtume(ﷺ)ameifanya Zakaatul-Fitr ini fardhi kwa mtumwa na aliye huru, mwanamume na mwanamke, mdogo na mkubwa miongoni mwa Waislamu kwa kutoa pishi moja ya tende kavu au pishi moja ya shayiri, na akaamrisha kwamba itolewe kabla ya watu kwenda kuswali (Swalaatul-'Iyd)" ))_
*((تجب على كل مسلم يكون لديه ما يزيد عن قوته وقوت عياله وعن حاجاته الأصلية في يوم العيد وليلته ,ويلزم المسلم أن يخرج زكاة الفطر عن نفسه وزوجته وعن كل من تلزمه نفقته ويستحب إخراجها عن الجنين الذي أتم أربعين يوماً في بطن أمه))*
Ni wajibu kwa kutoa kila Muislamu kwa sharti awe na ziyada ya Chakula chake na Watu wake kitakacho mtosha mchana wa siku ya Eid na usiku wake,
Na yamlazimu Muislamu kutoa Zakatul-fitri kujitolea Nafsi yake na kumtolea Mke wake na kila ambae anamlazimu kumpa chakula ,
Na imependekezwa kumtolea Mtoto alokua matumboni alotimia siku arubaini (40) akiwa ndani ya matumboni mwa mamake.
-----------------------
*((جمهور الفقهاء لا يوجبون الزكاة عن الجنين إيـجابا، وهو مذهب الحنفية والمالكية والشافعية وهي رواية عن أحمد))*
_((Wanazuoni Watatu Imamu Abi Hanifa ,Malik ,na Imamu Shaafiy :[emoji1484]_
_wamesema sio lazima kwa alomatumboni kumtolea Zakatul-Fitri ila katika Riwaya ya Imamu Ahmad ndio kajuzisha hilo lakini wenzake wamesema sio lazima.))_
Imamu Ahmad amejuzisha kutolewa alokua katika Matumbo ya mamake kwa kutokana na kauli hii ya Mtume(ﷺ)aliposema:[emoji1484]
*قوله: (( عَلَى الصَّغِيرِ وَالْكَبِيرِ ))*
_((Ni wajibu kwa Mdogo na Mkubwa))_
Akamaanisha kua udogo huu ndio huo hata ulioko katika Matumboni mwa mamake pia anatolewa Zakatul-Fitri.
وقال ابن حزم
*((إذا أكمل الجنين في بطن أمه مائة وعشرين يومًا، وجب أن تؤدى عنه صدقة الفطر. لما صح في الحديث أنه ينفخ فيه الروح حينئذ ))*
_((Na Mwanachuoni ibnu Hazm akayatilia nguvu kumuunga imamu Ahmad kua Mtoto akiwa matumboni mwa mamake pindi akikamilisha muda wa siku mia moja na ishirini itampasa kutolewa Zakatul-Fitri kwani imesihi Hadithi kua ashatiwa ruhu Mtoto huyo matumbuni.))_
عن أبي عبْدِ الرَّحْمن عبدِ الله بنِ مسعودٍ رضي الله عنه قال: حدَّثَنا رسولُ الله صلى الله عليه وسلم وهُوَ الصَّادقُ المَصْدوق
*(( إنَّ أَحَدَكُمْ يُجْمَعُ خَلْقُهُ في بَطْنِ أُمِّه أرْبعينَ يوْماً نُطْفَةً، ثُمَّ يَكُونُ عَلَقَةً مِثْلَ ذلك، ثُمَّ يَكُونُ مُضْغَةً مِثْلَ ذلك، ثُمَّ يُرْسَلُ إليه المَلكُ فَيَنْفخُ فيه الرُّوحَ ويُؤمَرُ بأرْبَعِ كلماتٍ: بِكَتْبِ رِزْقِهِ وأَجَلِهِ وعَمَلِهِ وشَقيٌّ أو سَعيدٌ، ))*
Amesema Bwana Mtume(ﷺ):[emoji1484]
_((Hakika umbo la kila mmoja wenu linakusanywa pamoja katika tumbo la mama yake kwa muda wa siku arubaini, ikiwa katika hali ya mbegu, baadaye tone la damu kwa muda kama huo, tena huwa ni kipande cha nyama kwa muda kama huo, tena hupelekwa Malaika anaempulizia pumzi za uhai na anaamrishwa mambo manne: kuandika rizki yake, maisha yake, amali yake na akiwa atakuwa (mtu) mbaya au mwema.))_
*((واحتج ابن حزم بأن الرسول صلى الله عليه وسلم فرض صدقة الفطر على الصغير والكبير، والجنين يقع عليه اسم “صغير” فكل حكم وجب على الصغير فهو واجب عليه))*
_((Na huja aloitumia Ibnu Hazm nikua Bwana Mtume(ﷺ) kafaradhisha Zakatul-fitwr kwa Mdogo na Mkubwa ,na huyu mtoto alokua matumboni akasema anakua katika jina la Mtoto,kwahiyo pia inampasa kutolewa kama alivyo sema kisha akatoa ushahidi mwengine ))_
وروى ابن حزم عن عثمان بن عفان
*((أنه كان يعطي صدقة الفطر عن الصغير والكبير والحمل ))*
_((Khalifa Sayyidna Athman (R.A) alikua akitoa Zakatul-Fitri kwa Mtoto na Mkubwa na hata alokua katika Mimba.))_
Hizi ndio dalili za wenye kusema kua Mtoto alokua matumboni anafaa kutolewa Zakatul-Fitwr kwa dalili hizo.
~~~~~~~~~~~
Lakini Dalili ilotolewa ya Khalifa Sayyidna Athman (R.A) kua alikua akitoa kwa Mtoto alomatumboni ndio kama hii haikusihi Hadithi yake.
*((وقد استدل ابن حزم بما رواه أحمد كما في "سؤالات عبدالله" ص(170) برقم (644) وابن أبي شيبة (2/432/10737) - قال أحمد : ثنا ( معتمر ) بن سليمان التيمي عن حميد ( عن ) بكر وهو ابن عبدالله المزني وقتادة أن عثمان كان يعطي صدقة الفطر عن الصغير والكبير والحمل ))*
وهذا سند منقطع : فإن بكرًا وقتادة لم يسمعا من عثمان
_____________________________________
*((فجمهور الفقهاء على أنه لا تجب زكاة الفطر على الجنين ))*
_((Kutokana na kutosihi Hadithi hii itabakia kauli ya Wanazuoni kua sio lazima kwa alomatumboni mwa mamake kutolewa Zakatul-fitri.))_
*((إذا ولد الطفل قبل غروب شمس آخر يوم من رمضان أخرجت عنه زكاة الفطر، أما إذا غربت شمس آخر يوم من رمضان وهو في بطن أمه فلا يجب إخراجها عنه ))*
_((Akizaliwa Mtoto baada ya siku ya Fitri kumalizika Ramadhani haimpasi kutolewa Zakatul-fitri ,Lakini akizaliwa kabla ya Maghribi katika siku ya mwisho wa Ramadhani huyu Mtoto atatolewa Zakatul-Fitwr kua kaipata Ramadhani kabla yakutoka kwake. ))_
*(( أَنْ تُؤَدَّى قَبْلَ خُرُوجِ النَّاسِ إِلَى الصَّلاةِ))*
_((Usisahau kauli hii ya Bwana Mtume(ﷺ)kutoa Zakatul-fitr kabla Watu hawajatoka kuswali))_
***********************
. *[emoji917] YALO MUHIMU [emoji917]*
(1)- Hatowi Zaka asiekuwa Muislam
(2)- Hapewei Zaka asiekuwa Muislam
(3)- Analazimika kutowa Zaka mwenye uwezo
(4)- Halazimiki kutowa Zaka asiekuwa na uwezo
(5)- Inalazimika kutolewa Zaka asiekuwa na uwezo
(6)- Hailazimiki kutolewea Zaka mwenye uwezo
Kiwango cha Zaka chenye kutolewa ni pishi ya chakula cha kawaida cha nchi kilo mbili na nusu.
## ## ## ## ## ##
Mwisho Namuomba Mwenyezi Mungu (S.W.T).[emoji1484]
*(( تقبل الله منا ومنكم طاعاتنا وصالح اعمالنا وصيامنا وقيامنا وأعاد الله علينا هذا الشهر الفضيل وجعلنا من عتقائه من النار انه سميع مجيب ))*
_{{Mola atutakabalie Kila kheri tuliofanya katika Mwezi huu Mtukufu Ramadhani,Na atujaalie wenye kuingia katika lile Kundi lilowachwa Huri na Moto.}}_
وصلى الله على سيدنا محمد وآله وصحبه وسلم
*{{كل عام وأنتم بخير وعيدكم مبارك }}*
_{{Nawatakia kila kheri katika Sikukuu hii }}_
[emoji122][emoji122] ((AAMIIIN)) [emoji122][emoji122]