Ramadhan Special Thread

Sawa, sababu mimi nimeanza kukuuliza swali,naomba unijibu kwanza kisha nikujibu swali lako.

Ila ngoja nikujibu kwa mtindo huu. Naomba unionyeshe kwenye Qur'aan namna ya kuswali sala tano kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Nipo ...
Nikuonyeshe namna ya kuswali swala tano hakika imenishangaza comment yako nimekuuliza swali lengine unajibu tofauti mbaya zaidi unataka kuingiza topic nyingine. Mkuu wew Kusimamisha swala hujui.
 
Swali lako limejibiwa na Abuu Dharr
 
Wew inabidi upewe elimu ya mwaka mzima njoo pm
Hakuna haja ya elimu ya mwaka. Demiss alipaswa kumuuliza huyo bwanake. Kimsingi hakuwa na sababu zozote za maana.

Mwanamke akiwa hedhi haruhusiwi:
1. Kuswali
2. Kufunga
3. Kushika Quran
4. Kuzunguka Al Kaaba
5. Kufanya mapenzi (kuingiliwa)

Zaidi ya hapo hakuna kingine.
 
Sema "Ramadhan Mubaraak" au "Ramadhan Sharif" au "Ramadhan Adhwiim" usiseme "Ramadhan Kareem" tamko hili halina asili.
Nakataa. Halina asili kisheria lakini lina maana. Na jambo haliwi haraam mpaka likatazwe au liende kinyume na mafundisho. Haya wewe maalim tuambie kwanini Ramadhan Kareem haifai?
 
Rejea hadithi ya mtume amani ya Allah iwe juu yake isemayo "Mwenye kujifananiza na kaumu fulani,basi na yeye ni miongoni mwao"
Mkuu, basi hata suruali tusivae. Kwa maana hiyo. Uislam sio mgumu kiasi hicho.
 
Umefasiri Kiswahili. Lete hapa istilahi ya Kiarabu. Inaonekana huijui lugha wewe.
 
Nikuonyeshe namna ya kuswali swala tano hakika imenishangaza comment yako nimekuuliza swali lengine unajibu tofauti mbaya zaidi unataka kuingiza topic nyingine. Mkuu wew Kusimamisha swala hujui.
Mkuu unamjua mtu ambaye anakimbia mpaka anaweza kupita kwao?

Hahahhaha basi ni bwana Zurri

Utachoka kwa mistari yake.[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Kwani lazima tuwe na Kiswahili?
Niambie Kiswahili cha Adhwim au Adhim. Na mpaka sasa tunasema "Leo ni siku adhim"
 
Kwahiyo yafaa kusema
Ramadhan Mukarramah?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…