Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
kwa hyo hakuna mawasiliano humu mpka Ramadhani nyengine? Kupeana mawaidha pia haijalishi mwezi ni siku yoyoteRamadhan imeisha Kanye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hyo hakuna mawasiliano humu mpka Ramadhani nyengine? Kupeana mawaidha pia haijalishi mwezi ni siku yoyoteRamadhan imeisha Kanye
Bac tuendelee kupeana mawaidha biidhnillah, na tittle ibadilishwe isomeke Mawaidha special threadkwa hyo hakuna mawasiliano humu mpka Ramadhani nyengine? Kupeana mawaidha pia haijalishi mwezi ni siku yoyote
Cc hance mtanashatBac tuendelee kupeana mawaidha biidhnillah, na tittle ibadilishwe isomeke Mawaidha special thread
Wazo zuri mkuuBac tuendelee kupeana mawaidha biidhnillah, na tittle ibadilishwe isomeke Mawaidha special thread
Tupoo tunasomaa na kumuomba Allah atuzidishie taqwaMbona mmepotea tangu Ramadhani iishe?
Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani,
Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote nawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu.
Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu.
Vitu gani tukifanya vitaharibu swaumu zetu, vitu gani tukifanya vitaongeza thawabu zinazopatikana katika kufunga, ipi hukumu kwa wale wasiofunga na yapi malipo anayopewa mja ambaye anafunga swaumu kikamilifu
Pia tuweze kujifunza neema zinazopatikana kwenye usiku wa lailatul qadr, usiku ambao umebarikiwa kuliko siku elfu moja.
Kwa haya machache napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa muumba wa mbingu na ardhi ambaye si mwingine bali ni Allah S.W. na kipenzi chake, Mtume Muhammad S.A.W.
Karibuni.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mwezi mtukufu umepita sasa umerudi kwa kasi kwnye threads za kusifia uzinzi wa tunda, diamond na mobeto innalillah wa inna illaih rajiun
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]