Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Wa 'alaykum salaam Warahmatullah WabarakaatuhAsalam alykum warahma tullah wabarakatuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa 'alaykum salaam Warahmatullah WabarakaatuhAsalam alykum warahma tullah wabarakatuh
Waalykm salaam warahmatullah wabarakatuhAsalam alykum warahma tullah wabarakatuh
Inaanza tarehe gapi sheikh?Leo Shaaban
In Shaa Allah mwezi ujao siku kama leo tutaanza kufunga Ramadhani
Allah atujaalia mema na tuombe uzima na afya njema
Hakika, watu wanatenda dhambi za mwisho mwisho, wakifunga wanaahiriha dhambi wakifungua wanafidia dhambi zote ambazo hawakutenda toka wafunge.Leo Shaaban
In Shaa Allah mwezi ujao siku kama leo tutaanza kufunga Ramadhani
Allah atujaalia mema na tuombe uzima na afya njema
22/03 In Shaa AllahInaanza tarehe gapi sheikh?
Yaeeeh nimekupata vyema22/03 In Shaa Allah
Inategemea na mwezi Sheikh
mrembo upooo?Hakika, watu wanatenda dhambi za mwisho mwisho, wakifunga wanaahiriha dhambi wakifungua wanafidia dhambi zote ambazo hawakutenda toka wafunge.
Njema, leo tumeanza KWARESMA.mrembo upooo?
hongereni.kufunga ni keshoee?😅Njema, leo tumeanza KWARESMA.
Sijui ndugu yangu. Allah akulipe kheri. Tusubiri wanaojua waje kujibu.Imekaaje Ramadhan kuitwa mwezi mtukufu wakati kwenye list ya miezi minne mitukufu haupo je inafaa ?
Baljurashi Kazakh destroyer
Nadhani ni utukufu wa ule ubora wa malipo kwa ibada zinazofanyika ndani yake na pia kule kupatikana laylatul qadri ndani yake ila katika miezi minne mitukufu haipo.Imekaaje Ramadhan kuitwa mwezi mtukufu wakati kwenye list ya miezi minne mitukufu haupo je inafaa ?
Baljurashi Kazakh destroyer
Ameen thuma ameenAllah atufanyie wepesi mwezi was ramadhani utukute wenye siha njema wana JF. Wote na waislamu wote Duniani 🙏
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuhAssalam Aleykum!