[emoji625][emoji625]WAKATI WA KUTOA ZAKATUL FITRI
Amesema Sheikh Ibn Utheymiin رحمه الله -:-
زمن إخراج صدقة الفطر صباح العيد قبل الصلاة
Wakati wa kutoa zakatul fitri ni Asubuhi ya siku ya Eid kabla ya Swala,
ويجوز أن تقدم قبل العيد بيوم أو يومين
Na Inajuzu kutangulizwa kutolewa kabla ya Eid kwa siku moja au siku mbili,
ولا يجوز أكثر من ذلك لأنها تسمى زكاة الفطر فتضاف إلى الفطر
Wala haijuzu zaidi ya hapo kwa sababu hiyo inaitwa Zakatul Fitri yani imeegemezwa katika Fitri,
ولو قلنا بجواز إخراجها بدخول شهر رمضان كان اسمها زكاة الصيام
Lau kama tutasema kwamba Inajuzu kutolewa pindi tu Inapoingia Ramadhani basi jina lake lingekuwa Zakatu sSwaum,
فهي محددة بيوم العيد قبل الصلاة ورخص في إخراجها قبل العيد بيوم أو يومين
Hivyo zakatul fitri imewekewa ukomo wa siku ya Eid na kabla ya Swala na ikaruhusiwa kutolewa kabla ya Eid kwa siku moja au mbili.
(فتاوى الزكاة والصيام / ص 229).
•┈┈••••○○❁[emoji255]❁○○••••┈┈•
┉┅━━━━✺[emoji95]✺━━━━┅┉┈
╭┈──── ••⇣⇣[emoji257][emoji256]
╰┈➢ MFASIRI: UMMU ISMAIL ALLAH AMUHIFADHI
•┈┈•◈◉✹❒[emoji432]❒✹◉◈•┈┈•
Kupata faida zaidi jiunge nasi kupitia chanel yetu Telegram ufaidike
. [emoji830]•┈•◈◉✹❒[emoji432]❒✹◉◈•┈•[emoji830]
[emoji402]
tembelea Channel yetu ya telegram ili kupata faida zaidi kupitia kiunganishi kilichowekwa
❀ جَـزى اللهُ خَـيْراً مَـن سَمعها ونشرها.