Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

a51ea9ddfea44afe9dd9d09d37f24d4b.jpg
 
[emoji625][emoji625]WAKATI WA KUTOA ZAKATUL FITRI

Amesema Sheikh Ibn Utheymiin رحمه الله -:-

زمن إخراج صدقة الفطر صباح العيد قبل الصلاة

Wakati wa kutoa zakatul fitri ni Asubuhi ya siku ya Eid kabla ya Swala,

ويجوز أن تقدم قبل العيد بيوم أو يومين

Na Inajuzu kutangulizwa kutolewa kabla ya Eid kwa siku moja au siku mbili,

ولا يجوز أكثر من ذلك لأنها تسمى زكاة الفطر فتضاف إلى الفطر

Wala haijuzu zaidi ya hapo kwa sababu hiyo inaitwa Zakatul Fitri yani imeegemezwa katika Fitri,

ولو قلنا بجواز إخراجها بدخول شهر رمضان كان اسمها زكاة الصيام

Lau kama tutasema kwamba Inajuzu kutolewa pindi tu Inapoingia Ramadhani basi jina lake lingekuwa Zakatu sSwaum,

فهي محددة بيوم العيد قبل الصلاة ورخص في إخراجها قبل العيد بيوم أو يومين

Hivyo zakatul fitri imewekewa ukomo wa siku ya Eid na kabla ya Swala na ikaruhusiwa kutolewa kabla ya Eid kwa siku moja au mbili.

(فتاوى الزكاة والصيام / ص 229).

•┈┈••••○○❁[emoji255]❁○○••••┈┈•
┉┅━━━━✺[emoji95]✺━━━━┅┉┈

╭┈──── ••⇣⇣[emoji257][emoji256]
╰┈➢ MFASIRI: UMMU ISMAIL ALLAH AMUHIFADHI

•┈┈•◈◉✹❒[emoji432]❒✹◉◈•┈┈•

Kupata faida zaidi jiunge nasi kupitia chanel yetu Telegram ufaidike

. [emoji830]•┈•◈◉✹❒[emoji432]❒✹◉◈•┈•[emoji830]

[emoji402]
tembelea Channel yetu ya telegram ili kupata faida zaidi kupitia kiunganishi kilichowekwa

❀ جَـزى اللهُ خَـيْراً مَـن سَمعها ونشرها.
 
[emoji617]RAKAA MBILI BAADA YA KURUDI KATIKA SWALA YA EID

عن أبي سعيد الخدري رضي الله عنه قال:

Kutoka kwa Abii said Al-khudry Allah amridhie amesema:

كَان رَسُولُ اللهِ ﷺ لَا يُصلي قبل العيد شيئًا فإذا رجع إِلَى منزِله صَلَّى رَكْعَتَيْن."

Alikuwa mtume (swallah llahu alayhi wasallam) haswali kabla ya swala ya eid chochote na pindi akirudi nyumbani kwake huswali rakaa mbili."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪حسنه الألباني صحيح ابن ماجه -رقم🙁1076❫.

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]
 
[emoji617]KUZEMBEA SWALA YA EID

[emoji404]Amesema Al-allaamah Muhammad bin swaaleh Al-uthaymeen (rahimahullah)

إنه لا ينبغي التساهل في صلاة العيد لا الفطر ولا الأضحى لأن القول الراجح أن صلاة العيد فرض عين على الرجال وأن من لم يصل فهو آثم."

Hakika yake haifai kuizembea swala ya eid sio eid Al-fitri au eid Al-dh'ha kwani hakika ya kauli yenye nguvu hakika ya swala ya eid ni faradhi ya lazima kwa wanaume, ima yule asie swali atapata dhambi."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪ابن عثيمين اللقاء الشهري (43❫.

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

*[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]
 
[emoji617]TAKBIIRA YA PAMOJA KATIKA SWALA YA EID

قال العلامة محمد بن صالح العثيمين رحمه الله

[emoji404]Amesema Al-allaamah Muhammad bin swaaleh Al-uthaymeen (rahimahullah)

أما التكبير الجماعي بصوت واحد فهذا ليس من السنة

Ima kuleta takbira kwa pamoja kwa sauti ya pamoja (katika swala ya eid) jambo hili sio katika sunna

بل كل واحدٍ يكبر وحده لنفسه هذا التكبير

Bali kila mmoja ataleta takbira peke yake kwa nafsi yake takbira hiyo

يسن للرجال أن يجهروا به وأما النساء فلا تجهر به لا في البيت ولا في السوق."

Inasuniwa kwa wanaume waidhihirihe kwa sauti ima kwa wanawake wala hawato idhihirisha takbira kwa sauti zao sio nyumbani kwao au masokoni."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪ابن عثيمين نور الشريط رقم (355❫.

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]
 
[emoji617]JE SWALA YA EID NI WAJIBU KWA WANAWAKE[emoji780]

سئلت اللجنة الدائمة:

Waliulizwa ulamaa wa lajna ya kudumu:

هل صلاة العيد واجبة على المرأة، وإن كانت واجبة فهل تصليها في المنزل أو في المصلى‏؟‏

[emoji404]Je swala ya eid ni wajibu kwa mwanamke, na ikiwa ni wajibu je ataiswali nyumbani au sehem wanayo kuswanyika watu na kuiswali?

ليست واجبة على المرأة ولكنها سنة في حقها،

[emoji3514]Jawabu: sio wajibu kwa mwanamke (swala ya eid) Lakini ni sunna katika haki yake

وتصليها في المصلى مع المسلمين؛ لأن النبي صلى الله عليه وسلم أمرهن بذلك‏."

Na ataiswali sehem ya kuswalia pamoja na waislam, kwani hakika ya mtume (swallah llahu alayhi wasallam) amewaamrisha wao juu ya hilo."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪اللجنة الدائمة -(6505‏❫.

Back
Top Bottom