Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Iwe kutoka moyoni sasa isiwe kwahisani ya jf maana humu ndani hakuna asiye na gari,nyumba kali demu mkali, roho nzuri na hatishi uswahiliniBinafsi huwa nafurahi sana ninaposikia mwenzangu kafanikiwa
Africa tumelala sana. Mashindano yanaitwa America's Got Talent halafu anayeshinda anatokea Bagamoyo.Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
DaaaaaaaaaaaaaaaaaKwa hakika Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anastahili pongezi kubwa sana kwa ushindi wa vijana hawa kutokana na namna ambavyo ameleta hamasa kubwa sana katika michezo ,ambapo imepelekea vijana kuongeza ubunifu na hamasa kubwa sana katika michezo .
Imepelekea vijana kuongeza mazoezi na kujituma kwa hali ya juu sana.hii ndio maana tunaona vijana hawa wakirudisha ushindi nyumbani.
Hongera nyingi kwao, maisha ndio haya sasaRamadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
'User name' yako haisadifu ulichokiandika.Binafsi huwa nafurahi sana ninaposikia mwenzangu kafanikiwa
Duh!...million 320 ni ndogo ?...🙄🙄🙄Hongera zao, waendelee kujituma
Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
Ulitaka iwe kiasi gani ili iwe nyingi ?Sema pesa ndogo hyoo...
Mashindano makubwa sana hayaa...
Akina Uwoya wanawasubiri😁😁Hongera nyingi kwao, maisha ndio haya sasa
nilifikiri unatania au unamsingizia, kumbe kweli kacomment yeye mwenyewe kwa akili zake timamu.Wakuu tayali hukuu kumekucha 🤣🤣🤣
Wakirejea watalakiwa na jamaa zangu wa Lumumba, kisha watapewa hadhi za kisiasa ili kuua vipaji vyao...Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
Tanzanian duo Ramadan Brothers emerges as winners of American Got Talent: Fantasy League.
In a historic achievement, two Tanzanian individuals known as the Ramadhan Brothers emerged victorious in the American Got Talent—Fantasy League competition, securing a prize of $250,000 (approximately TZS 637.5 million).
The Ramadhan Brothers, comprising circus performers Fadhili Ramadhani and Ibrahim Jobu, showcased their skills under the judging panel of Howie Mandel. They outshone other talented contestants, including The Pack Drumline, V. Unbeatable, Sainted, and Musa Motha.
This achievement marks the first time Tanzanians have clinched victory in the "AGT" competition. Following their win, the duo expressed their intention to invest the prize money in fitness equipment for the benefit of Tanzania.
The success of Ramadhan Brothers not only brings pride to Tanzania but also highlights the global recognition of Tanzanian talent in the entertainment industry. Their dedication and skill in the field of circus arts have made them trailblazers on the international stage.
Inchi ndio nini?Tanxania ndio inchi Gani?nawapongeza sana
Si haba mkuu. Ila pia wanakocha na mentor ambao wanawalipa.Hongera zao, waendelee kujituma
Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
😆 😂 😆 😂 this is JF......Hongera zao, waendelee kujituma
Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
Tanzanian duo Ramadan Brothers emerges as winners of American Got Talent: Fantasy League.
In a historic achievement, two Tanzanian individuals known as the Ramadhan Brothers emerged victorious in the American Got Talent—Fantasy League competition, securing a prize of $250,000 (approximately TZS 637.5 million).
The Ramadhan Brothers, comprising circus performers Fadhili Ramadhani and Ibrahim Jobu, showcased their skills under the judging panel of Howie Mandel. They outshone other talented contestants, including The Pack Drumline, V. Unbeatable, Sainted, and Musa Motha.
This achievement marks the first time Tanzanians have clinched victory in the "AGT" competition. Following their win, the duo expressed their intention to invest the prize money in fitness equipment for the benefit of Tanzania.
The success of Ramadhan Brothers not only brings pride to Tanzania but also highlights the global recognition of Tanzanian talent in the entertainment industry. Their dedication and skill in the field of circus arts have made them trailblazers on the international stage.
Safi kabisa wameitangaza nchi kuliko hata royal tour
Haya ndio matatizo ya kuvizia watu wakishafanikiwa. Mngekuwa mmewaibua mngewapanga mapemaKwa kiasi fulani wanaitangaza. Ila wangebadili jina na kuwa Tanzanite au Serengeti au Kilimanjaro Brothers ingekuwa safi kabisa.