Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.

Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.

Africa tumelala sana. Mashindano yanaitwa America's Got Talent halafu anayeshinda anatokea Bagamoyo.
 
Kwa hakika Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anastahili pongezi kubwa sana kwa ushindi wa vijana hawa kutokana na namna ambavyo ameleta hamasa kubwa sana katika michezo ,ambapo imepelekea vijana kuongeza ubunifu na hamasa kubwa sana katika michezo .

Imepelekea vijana kuongeza mazoezi na kujituma kwa hali ya juu sana.hii ndio maana tunaona vijana hawa wakirudisha ushindi nyumbani.
Daaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.

Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.

Hongera nyingi kwao, maisha ndio haya sasa
 
Hongera zao, waendelee kujituma

Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
Duh!...million 320 ni ndogo ?...🙄🙄🙄
 
Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.

Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.

View attachment 2909647

==========For English Audience Only=========​

Tanzanian duo Ramadan Brothers emerges as winners of American Got Talent: Fantasy League.

In a historic achievement, two Tanzanian individuals known as the Ramadhan Brothers emerged victorious in the American Got Talent—Fantasy League competition, securing a prize of $250,000 (approximately TZS 637.5 million).

The Ramadhan Brothers, comprising circus performers Fadhili Ramadhani and Ibrahim Jobu, showcased their skills under the judging panel of Howie Mandel. They outshone other talented contestants, including The Pack Drumline, V. Unbeatable, Sainted, and Musa Motha.

This achievement marks the first time Tanzanians have clinched victory in the "AGT" competition. Following their win, the duo expressed their intention to invest the prize money in fitness equipment for the benefit of Tanzania.

The success of Ramadhan Brothers not only brings pride to Tanzania but also highlights the global recognition of Tanzanian talent in the entertainment industry. Their dedication and skill in the field of circus arts have made them trailblazers on the international stage.​

Wakirejea watalakiwa na jamaa zangu wa Lumumba, kisha watapewa hadhi za kisiasa ili kuua vipaji vyao...

Nchi tamu na ngumu hii
 
Walipambana wenyewe media zilikua kimya sasa ndio kila mmoja anapost bongo kwa unafiki ni namba1
 
Hongera zao, waendelee kujituma

Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
Si haba mkuu. Ila pia wanakocha na mentor ambao wanawalipa.
 
Waje wapigwe na wadada wa mujini...kama Idriss Sultani Ile milion 600 zake...
 
Hongera zao, waendelee kujituma

Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
😆 😂 😆 😂 this is JF......
Yawezekana umezungukwa na wafanyabiashara waliofanikiwa kwa sekta ya madini.

Milioni 300 ni hela nyingi sana kwa 3rd world country
100 unapata nyumba na usafiri
100 unatupia UTT upate 1M kila mwezi ya kujisogeza
100 unaigawa mara 3 au mbili na kufanya biashara ambayo ushaifanyia tafiti kitambo.
Kama biashara sio swala basi unaitia UTT na kujifunza investments huku ukiendelea kupambana na gigs za kipaji chako na kutanua wigo.

HIYO HELA SIO NDOGO KWA MAISHA YA 3RD WORLD COUNTRY POPOTE DUNIANI TUACHE KUDANGANYANA HUMU NDANI
 
Hongera sana kwa hawa jamaa
Kenya watasema ni wakenya
 
Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.

Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.

View attachment 2909647

==========For English Audience Only=========​

Tanzanian duo Ramadan Brothers emerges as winners of American Got Talent: Fantasy League.

In a historic achievement, two Tanzanian individuals known as the Ramadhan Brothers emerged victorious in the American Got Talent—Fantasy League competition, securing a prize of $250,000 (approximately TZS 637.5 million).

The Ramadhan Brothers, comprising circus performers Fadhili Ramadhani and Ibrahim Jobu, showcased their skills under the judging panel of Howie Mandel. They outshone other talented contestants, including The Pack Drumline, V. Unbeatable, Sainted, and Musa Motha.

This achievement marks the first time Tanzanians have clinched victory in the "AGT" competition. Following their win, the duo expressed their intention to invest the prize money in fitness equipment for the benefit of Tanzania.

The success of Ramadhan Brothers not only brings pride to Tanzania but also highlights the global recognition of Tanzanian talent in the entertainment industry. Their dedication and skill in the field of circus arts have made them trailblazers on the international stage.​

Hii imekaa vizuri sana. Hongera zao sana.
Ila nashauri jina wafikirie kubadilisha, at least waitwe Kilimanjaro au Tanzanite brothers.
 
Safi kabisa wameitangaza nchi kuliko hata royal tour

Kwa kiasi fulani wanaitangaza. Ila wangebadili jina na kuwa Tanzanite au Serengeti au Kilimanjaro Brothers ingekuwa safi kabisa.
 
Haya ndio matatizo ya kuvizia watu wakishafanikiwa. Mngekuwa mmewaibua mngewapanga mapema
 
Back
Top Bottom