Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnasifia hadi mnaharibu.Sisi kama wizara ya michezo na utamaduni tunatoa pongezi za dhati kwa serikali ya Awamu ya sita chini ya Dr Mama Mbeba maono SSH Kiongozi shupavu na mtetezi wa wanyonge kwa kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wa kitanzania kama Ramadhani brothers kujishughulisha kwenye michezo nakujipatia kipato.
kwako Lucas mwashambwa
Congratulations Brothers.Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
Kumbenaipongeza serikali ya mama na chama cha mapinduzi kwa ujumla huu ushindi ni wetu sote watanzania
Hawapingi, wanasema ukweli ambao hatuutaki.Hongera kwetu,wakenya watapinga na hili pia
Safi kabisa wameitangaza nchi kuliko hata royal tourRamadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kumekuchaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nianzishe Uzi nimu ulize😆🤣Wenzio wanashinda million 600 mda huo Maghayo katapeliwa 😃😅😅mpaka katoa dp
Mie Angel sio Hany 😂hany mambo
Kwa hakika Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anastahili pongezi kubwa sana kwa ushindi wa vijana hawa kutokana na namna ambavyo ameleta hamasa kubwa sana katika michezo ,ambapo imepelekea vijana kuongeza ubunifu na hamasa kubwa sana katika michezo .Sisi kama wizara ya michezo na utamaduni tunatoa pongezi za dhati kwa serikali ya Awamu ya sita chini ya Dr Mama Mbeba maono SSH Kiongozi shupavu na mtetezi wa wanyonge kwa kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wa kitanzania kama Ramadhani brothers kujishughulisha kwenye michezo nakujipatia kipato.
kwako Lucas mwashambwa
Wakuu tayali hukuu kumekucha 🤣🤣🤣Kwa hakika Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anastahili pongezi kubwa sana kwa ushindi wa vijana hawa kutokana na namna ambavyo ameleta hamasa kubwa sana katika michezo ,ambapo imepelekea vijana kuongeza ubunifu na hamasa kubwa sana katika michezo .
Imepelekea vijana kuongeza mazoezi na kujituma kwa hali ya juu sana.hii ndio maana tunaona vijana hawa wakirudisha ushindi nyumbani.