Ramadhani ile haipo

Ramadhani ile haipo

RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII

Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi.

Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi waliyakuta.

Rejea nyuma.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Leo Ramadhani hii haipo na pengine haitorejea hadi kiama.

Labda mtu atajiuliza.
Iliwezekanaje wakati ule?

Mtu anaweza pia kujiuliza ni kitu gani kimetokea kuondoa haya yote?

Naweka hapo chini picha iliyopigwa shambani kwa Sheikh Chaurembo Mtoni mwaka wa 1956 kwenye dua pamoja na majina ya waliohudhuria (mengine hayakupatikana).

Hawa walio kwenye picha hii ndiyo waliotuzaa sisi na waliipokea Ramadhani hii niliyoieleza hapa na imeondoka baadhi yao wakiwa hai.

Katika hawa wamo wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika:

1 Sheikh Hussein Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohamed I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Sheikh Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al Amudy family
15. T.T. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini kulia:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian.
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukok...
Ramadhan ndio nini labda? 🚮. Fungeni kimpango wenu. Nyie na dini yenu hamna ukubwa kuliko wengine. Zingatieni mipaka yenu, msijikute mnataka kupangia watu maisha. Kwanza mtume wenu muongo muongo, alioa kitoto cha miaka 6, anachanganya Mariam mama yake Yesu na Mariam mama yake Musa, haijashuhudia lolote lakini kaleta story za uongo uongo na kuchota watu. Yupo zake Medina kaoza anamsubiri Yesu Mungu, mfalme wa wafalme siku ya mwisho kama wengine. Ramadhan hamna la maana zaidi ya kubadili muda wakula. Kwanza ni excuse ya kula vizuri. Wanafiki tu. Hambadiliki chochote.
 
Nyoka fox ni mdudu gani huyo anayekuchachafya hata ukanifananisha naye ?? au alikutia bakora kwa kula mchana ?😛😛
🤣🤣Mm nipigwe na mla urojo? Ntakua Sina mikono na ntakua nimesahau judo na Kung Fu nlizojifunza kutoka kwa sheikh wangu maridadi kutoka masjid madina
 
Hehe na wanafurahia kusikia ulaya wana slim wengi,,,,.....miaka inayokuja muislam atakua hana tofauti na mkristo, mvinyo kwa wingi na mbuzi katoliki halali
 
RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII

Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi.

Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi waliyakuta.

Rejea nyuma.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Leo Ramadhani hii haipo na pengine haitorejea hadi kiama.

Labda mtu atajiuliza.
Iliwezekanaje wakati ule?

Mtu anaweza pia kujiuliza ni kitu gani kimetokea kuondoa haya yote?

Naweka hapo chini picha iliyopigwa shambani kwa Sheikh Chaurembo Mtoni mwaka wa 1956 kwenye dua pamoja na majina ya waliohudhuria (mengine hayakupatikana).

Hawa walio kwenye picha hii ndiyo waliotuzaa sisi na waliipokea Ramadhani hii niliyoieleza hapa na imeondoka baadhi yao wakiwa hai.

Katika hawa wamo wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika:

1 Sheikh Hussein Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohamed I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Sheikh Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al Amudy family
15. T.T. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini kulia:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian.
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukok...
Suni imebadilika
 
Ramadhan ndio nini labda? 🚮. Fungeni kimpango wenu. Nyie na dini yenu hamna ukubwa kuliko wengine. Zingatieni mipaka yenu, msijikute mnataka kupangia watu maisha. Kwanza mtume wenu muongo muongo, alioa kitoto cha miaka 6, anachanganya Mariam mama yake Yesu na Mariam mama yake Musa, haijashuhudia lolote lakini kaleta story za uongo uongo na kuchota watu. Yupo zake Medina kaoza anamsubiri Yesu Mungu, mfalme wa wafalme siku ya mwisho kama wengine. Ramadhan hamna la maana zaidi ya kubadili muda wakula. Kwanza ni excuse ya kula vizuri. Wanafiki tu. Hambadiliki chochote.

Eti Ulishaolewa na padri ?? Papa ameruhusu kuolewa

View: https://www.youtube.com/watch?v=B-noZKkmqIo&pp=ygUZcG9wZSBhbGxvd3MgZ2F5IG1hcnJpYWdlZQ%3D%3D
 
Hehe na wanafurahia kusikia ulaya wana slim wengi,,,,.....miaka inayokuja muislam atakua hana tofauti na mkristo, mvinyo kwa wingi na mbuzi katoliki halali

ndivyo inavyosema injili ya Naby keita ??
 
Enzi zenu hakukuwa na Smartphone ndo maana mliweza hayo yote Sasa hivi ni ngumu
 
Ya mtakatifu mudi,,,,tunajionea kitaa acha mfungo uishe tuanze kupiga wote misele kwenye monde na mbuzi katoliki

mahubiri ya mchungaji wako Gwajima hayo au yule dada Zumaridi ?
 
Mchungaji Rashidi wa kimara
Wewe itakuwa nabii wako ni Tito

1712676336394.jpeg
 
Sikukuu muhimu na kubwa kuliko zote kwa christians ni Christmas mkuu
siyo ramadhani tu hata Christianity pia imeondolewa, Pasaka sikukuu muhimu kuliko zote kwenye Ukristo ndiyo siku wakaleta siasa za akina makonda wanahamishiwa sijui ukuu wa mkoa teuzi zinafanyika tena weekend walishindwa nini kusubiri after Easter? tena na umeme wakakata haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa republic yetu, hivyo ni satanism tu ndiyo mwelekeo wa kidunia sasa hivi …
 
Nabii wangu mzimu kwani umeletwa na jahazi na hao ngozi za kitimoto?

Wacha kujipakazia , Nabii wako Tito yupo anakuambia unywe kama hivyo ulivyosema baadaye ulitoe sadaka boga
 
Back
Top Bottom