Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

Good! Turudi kwenye hiyo Lunar Calendar. Je, Kwaresma inakuwa wakati gani kupitia Lunar Calendar?
Duh

Is this supposed to be an interrogation or what?
 
Itikadi Kali ni wale walipotoka na kuyapa mgongo mafundisho sahihi kwa ufahamu sahihi
 
Mbona kama wewe ndio upo high mwenzako katoa hoja zake umeshindwa kujibu hoja unatoa maneno ya kejeli

Wewe mwenye akili nyingi tusaidie kujua inakuwaje Kwaresma na Ramadhani ziangukie mwezi mmoja?
Kuna hoja gani hapo?..jina fatima alilopewa binti wa mtume,ni jina la kiarabu lililokuwepo kabla mtume hajazaliwa,kama kuna eneo linaitwa fatima huko ureno,haishangazi,sababu waarabu waliitawala hispania na ureno kwa miaka zaidi ya 800,hispania kuna mji unaitwa cordoba (kiarabu qurdubaa),huko nyuma walidai uislam ulianzishwa na Jesuit ya wakatoliki, jesuit ulianzishwa miaka 900 baada ya kifo cha muhammad
 
Kwamba islam was created by Catholic?
that is how islam is created by them, halafu kijana mbongo wa madongokuinama mchambawima, temeke mikoroshini choo paspoti saizi ugali dona bamia anashupaza shingo hawataki kuambiwa ukweli kuwa wanapumbazwa akili
 
Jesuit ni jina tu lakini walikuwepo hata kabla ya Yesu. Wakati Yesu anahubiri Yudea ilikiwa chini ya utawala wa Rumi.

Nchini Ureno kitongoji kinacho itwa Fatima kilipewa jina hilo specifically kwa heshima ya Fatima Bint Muhammad
 
Bro hapa unaongea kwa sababu kichwa ama akili yako iliwahi kubikiriwa na huo uislamu , tayAri uko addicted, akili huwa ina tabia kukuonyesha kile unachokiamini. Yaani ungejua akili zetu zinavyofanya kazi Wala usingeongea hayo uongeayo.
Why mpaka unajibadilisha jina let say from Masanja unaitwa Abdullah ama Daniel. So majina yetu nayo hayafai mbele ya Mwenyeezi Mungu. Hapa utajibu ku defend why mpaka unabadilisha jina,nguo,chakula yaani tamaduni zote ukicheki tunafanana na wazungu ama waarabu. Yaani hapa tumeshanajisiwa na dini zao Wala huwezi ongea
 
Unatumia Mifano ya kumuelewesha profesa sidhani kama hawa mambulula yataambua chochote.
 
Jesuit ni jina tu lakini walikuwepo hata kabla ya Yesu. Wakati Yesu anahubiri Yudea ilikiwa chini ya utawala wa Rumi.

Nchini Ureno kitongoji kinacho itwa Fatima kilipewa jina hilo specifically kwa heshima ya Fatima Bint Muhammad
Kama kilipewa heshima hiyo hicho kitongoji haishangazi, waislam walitawala hapo pamoja na hispania muda mrefu
 
Kwa mahesabu ya siku, wiki, mwezi na mwaka inawezakana ikaja kutokea siku moja kuna iddi na pasaka hapohapo au zikakaribiana siku
 
Wasukuma na wamakonde wanabadili majina wapendavyo,kubadili jina ni utashi wa mtu
 
Hizo ni Nadharia tu.

Mwaka 2030 utakuwa na ramadhani mbili

Kila Ramadhani huchukua siku 10 hadi 11, kwani miezi ya Hijri ni siku chache kuliko kalenda ya kawaida, ambayo ina maana kwamba kila mwaka Ramadhani inakaribia Januari.

Kwa mujibu wa mtaalamu wa Nyota Khalid al-Zaqaq, tofauti ya siku za hesabu hizo mbili ina maana kwamba kila baada ya miaka thelathini tunafunga mara mbili kwa mwaka. Mara ya mwisho hii ilifanyika mnamo 1997.

Unapotazama kalenda ya Saudi Arabia 2030 unaona kwamba Ramadhani ya kwanza itaanza Januari 6, huku Eid ikiangukia tarehe 5 Februari. Ramadhani ya pili inaangukia tarehe 26 Disemba mwaka huo huo.

Cc: BBC swahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…