9 chini ya 10 ulikuwa Mkristo hivyo umekata tamaa na matendo na mafundisho ya dini yako.Maelezo yote ni kutetea icho kirusi. So waafrika pekee ndio walioweza kubadilisha ama kubadilika na maisha kadri ya muda ,mbona hakuna wachina wenye majina ya kiarabu ama hakuna waarabu wenye majina ya kihindi.
Elewa wahindi Wana vyakula vyao, mavazi yao, pamoja wachina ,wajapan , waarabu na wazungu sema tu mwafrika amekuwa mjinga ameshindwa kuwa na dini., chakula na mavazi yake hata namna ya ndoa yenye asili ya kiafrika wameiga mpaka happy birthday.
Haya bana Muhammad ama wewe ni John Mana mwafrika bila ya kujiita jina la mzungu ama mwarabu anajiona hajakamilika. Kumbe ni inferiority unamsumbua , cheki hakuna tamaduni iliyoamua kufuata tamaduni nyingine Kila watu Wana tamaduni zao namna ya kuabudu.
Unachojaribu kufanya ni kutaka kutafuta faraja nje ya mfumo wa dini na mko kundi kubwa sana.
Lawama na maswali ulio uliza ni nonsense.
Kila kitu unachokiona ni mipangilio mizuri kabisa ya Muumbaji mwenyewe hivi ushawahi kujiuliza faida ya kuitwa chukulubu?
au kuitwa John ama Mas'udi?
Tambua Muumbaji Aliumba mataifa tofauti Rangi tofauti kabila tofauti Rugha tofauti ili tupate kutambuana wala havina maana nyengine.
Kwa Akili yako unadhani hakuna wachina waislamu ama wakristo?
je hakuna wahindi waislamu na mfano Nzuri ni bwana Shahru khan kwenye mitandao kuna picha kapiga yuko Mecca yeye na familia yake walikwenda hijja kufanya ibada je yule ni mswahiri kutoka Chitohori Mtwara Tanzania Afrika?
Ukristoni hakuna majibu ya maswali mengi magumu ila ndani ya Uislamu kunapatikana majawabu yote ya Maisha ya Mwanadamu.
Kwani uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu.
Mimi kama mwislamu nikiamua kumiliki gari ni lahisi kabisa kuna ibada Za Usiku kuna Aya za Quran kuna Adhkari za kufanya Na Muumba mbingu na Ardhi Na vyote vilivyomo Akitaka ananipa sina haja ya Shekhe wala Imamu kuniombea au kuniuzia mchanga na mafuta.