LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kutawaliwa akiliHalafu iweje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kutawaliwa akiliHalafu iweje?
Kivipi?..hebu nieleze ni kivipi jesuit wanawatawala waislam akili baada ya 'kuwaundia' uislam..na wanafaidikaje?kutawaliwa akili
Umeshawekewa kirusi
sometimes Tuweke Pembeni Udini na Tuseme Ukweli..Hakuna ibada ya kubusu jiwe kwenye uislam
Maelezo yote ni kutetea icho kirusi. So waafrika pekee ndio walioweza kubadilisha ama kubadilika na maisha kadri ya muda ,mbona hakuna wachina wenye majina ya kiarabu ama hakuna waarabu wenye majina ya kihindi.Nimekuambia taja unaongelea vitu havipo ...Wewe umezaliwa miaka ya karibuni unajua nn zaidi ya stori za kusadikika...Mwafrika aliendelea kutoka sehemu moja mpaka nyingine mpaka kuja kugundua moto na kuendelea.
Aliachana na mambo kadri siku zinavyoenda ,kwa zama zako ni upumbavu kujadili ya nyuma sana , Sasa tembea uchi kama babu zako ...Usiwe mjinga kufuatana na wajinga, ukoo wako unaanzia kwa wazazi wako na ndugu zako .
Huko nyuma hapakuhusu sio maisha kwa ajili yako if it was meant to be yours you would've been there...Pale ulipozaliwa ndiyo zama zako huko nyuma hakuna kama umekuta wazazi wanaendela ni sawa
Hivi ww jamaa waislam walisha kufanya nini, mbona chuki imekujaa dhidi yao kwanza tuanzie hapo?Vijana wa kiislam wa kibongo huwa hawataki kabisa kupanua ufahamu zaidi kuhusu dini yao waliyoikuta inaabudiwa na wazazi wao, hawataki kuwaza nje ya box, wanadhani mambo ndivyo yalivyo kwa jinsi walivyohubiriwa. Hawataki kufanya akili zao kuwa huru kuwaza na kutafuta ukweli wa mambo ya dini ndio maana husombwa na itikadi kali na chuki za kidini pasipo kuujua ukweli na ajenda zilizojificha ndani ya dini yao. Let them set free
Una uhakika gani kwamba hakuna wachina wenye majina ya kiarabu na race nyingine ?Maelezo yote ni kutetea icho kirusi. So waafrika pekee ndio walioweza kubadilisha ama kubadilika na maisha kadri ya muda ,mbona hakuna wachina wenye majina ya kiarabu ama hakuna waarabu wenye majina ya kihindi.
Elewa wahindi Wana vyakula vyao, mavazi yao, pamoja wachina ,wajapan , waarabu na wazungu sema tu mwafrika amekuwa mjinga ameshindwa kuwa na dini., chakula na mavazi yake hata namna ya ndoa yenye asili ya kiafrika wameiga mpaka happy birthday.
Haya bana Muhammad ama wewe ni John Mana mwafrika bila ya kujiita jina la mzungu ama mwarabu anajiona hajakamilika. Kumbe ni inferiority unamsumbua , cheki hakuna tamaduni iliyoamua kufuata tamaduni nyingine Kila watu Wana tamaduni zao namna ya kuabudu.
Hakuna uhusiano Kati ya Uislam na Ukafiri, wala Uyahudi ni kitu rahisi mno kupata history za jamii za kiarabu kuliko hizi za Kiafrika kwasababu Arabs ni jamii zinazotukuza kuhifadhi History zao,Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana.
Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea ( Vatican).
Anasema Bi Khadija mke wa kwanza wa Prophet Muhammad ( Peace be upon him) alikuwa ni mtawa wa kikatoliki na shushushu wa Vatican ambae alipewa task na Vatican ya kusaidia kupatikana kwa kijana makini, smart, mwenye maadili mema wa kiarabu ili wamtumie kueneza Uislamu ambapo Bi Khadija alizipata sifa hizo kwa prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him)
Alberto Rivera aliprove hoja yake kwa kutumia mifano mingi sana kama vile ufanano wa baadhi ya mambo kwenye ukatoliki na Uislamu kama vile : Architectures, idol worshiping etc.
( Hapo kwenye idol worshiping: Wakatoliki wanasujudia sanamu la Bikira Maria na kutumia vitu kama rosary waislamu wanabusu jiwe la kwenye Kaaba na kutumia vitu kama Tasbihi.
....
Kwanini Ramadhani na Kwaresma zinagongana miaka yote?.
Isije kuwa tunafuata kalenda ya miungu ya Rumi bila kujua kama tunafanya hivyo?
Haya bana
# Fateema is the name of the most favourite daughter of Prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him)
In Catholic Fateema is a holy name attributed to a holy place in Portugal which is known as Fateema. ( Fatima) The place was named after Fateema, the favourite daughter of Prophet Muhammad Peace Be Upon Him.
Bikira Maria mama wa Yesu aliwatokea Lucia, Francis na Yasinta ( watoto wa Fatima Katika eneo liitwalo Fatima huko Portugal)
# Our Lady of Fatima Catholic Choir.
# In the Catholic Church, Maryam the mother of Jesus is venerated. In the Holy Quoran there is a complete chapter attributed to Maryam the mother of Jesus ( Suratul Maryam) . Mama wa Prophet Muhammad aliitwa Amina lakini hajapewa sura kwenye Qur'aan ila mama wa Yesu kapewa.
# Waislamu wanavaa Kanzu wakatoliki wanavaa Kanzu ( mapadri)
# wanawake wa kiislamu wanavaa baibui wanawake wa katoliki wanavaa baibui (masista)
# Mbona kama tunachezewa akili?
Ya kwamba ww unawajua majina wachina na wahindi wote walioko ulimwenguni?Maelezo yote ni kutetea icho kirusi. So waafrika pekee ndio walioweza kubadilisha ama kubadilika na maisha kadri ya muda ,mbona hakuna wachina wenye majina ya kiarabu ama hakuna waarabu wenye majina ya kihindi.
Elewa wahindi Wana vyakula vyao, mavazi yao, pamoja wachina ,wajapan , waarabu na wazungu sema tu mwafrika amekuwa mjinga ameshindwa kuwa na dini., chakula na mavazi yake hata namna ya ndoa yenye asili ya kiafrika wameiga mpaka happy birthday.
Haya bana Muhammad ama wewe ni John Mana mwafrika bila ya kujiita jina la mzungu ama mwarabu anajiona hajakamilika. Kumbe ni inferiority unamsumbua , cheki hakuna tamaduni iliyoamua kufuata tamaduni nyingine Kila watu Wana tamaduni zao namna ya kuabudu.
Kwa hiyo tunakubaliana wakristo hawatumii Akili sawa?wana hasara gani wale kuweka aya hiyo?
Unataka tujadiri kupitia kitabu gani kuhusu maswali yako?Hii ya Uislamu kuwa toka enzi za Adamu ni uongo wa wazi kabisa. Kwanza quran na hadithi zinasema muislam wa kwanza na shehe Muhammad. Pili ili uwe muislam unatakiwa ufuate nguzo tano za Uislamu ikiwemo kushahadia.
Je wapi Adam na Mitume kabla ya Muhammad walishahadia? Kwa hili mmefanganywa na kudanganyika mkuu.
Kuhusu ibada ya Sanamu, ni kweli Wakatoliki kuna masanamu mengi.sana ila ni kweli nanyi mnaabudu lile jiwe pale Macca. Pia unasema kuwa sio kila msikiti una lile.Jiwe, ni kweli usemacho ila ushawahi jiulize bro kwanini kila mahali msikiti unaelekea QIBRA ambako ndiko Macca alipo Mungu wenu(Allah pale Kaaba)?
hii dunia ina siri nyingi sana, zingine bado hazijaachiwa, jitahidi angalau ujue moja tu kwa sehemu ndogo ili akili yako iwe huru usidanganyike na dini yako uliyorithi toka kwa wazazi wako waliolishwa matango pori ya kiimaniKivipi?..hebu nieleze ni kivipi jesuit wanawatawala waislam akili baada ya 'kuwaundia' uislam..na wanafaidikaje?
naona kama mmepotea hivi, hebu tokeni huko gizani, njooni nuruniHivi ww jamaa waislam walisha kufanya nini, mbona chuki imekujaa dhidi yao kwanza tuanzie hapo?
once unakuwa mkristo automatically unakuwa na akiliKwa hiyo tunakubaliana wakristo hawatumii Akili sawa?
muislam gani unaweka nyau kwenye avator yako? Bora ungeweka juzuu sheikhHivi ww jamaa waislam walisha kufanya nini, mbona chuki imekujaa dhidi yao kwanza tuanzie hapo?
mtoto wa madrasa muislam pro max bilble unaijulia wapi mpaka unatamba kuwa una majibu toka humo? We tumia quran, biblia hutaweza kuitumia, huna roho mtakatifu wa kukuwezesha kupambanua maandiko ya bibliaUnataka tujadiri kupitia kitabu gani kuhusu maswali yako?
Namaanisha unahitaji majibu kutoka kwenye Quran Ama Bible.
Utaishi maisha magumu sana maana chuki yako haina athari zozote kwa waislam.naona kama mmepotea hivi, hebu tokeni huko gizani, njooni nuruni
Nimekwambia nielezee kivipi jesuit wanafaidika na 'kuwaundia' waislam dini,acha porojohii dunia ina siri nyingi sana, zingine bado hazijaachiwa, jitahidi angalau ujue moja tu kwa sehemu ndogo ili akili yako iwe huru usidanganyike na dini yako uliyorithi toka kwa wazazi wako waliolishwa matango pori ya kiimani
Hadithi ni porojo za kubunisometimes Tuweke Pembeni Udini na Tuseme Ukweli..
Vipi wewe Ni muislamu?
Umewahi Kufanya Hija au Umra?
Au je Una Elimu ya Umra au Hija??
Unaijua Ibada ya "Istilam" (الإستلام). Ambayo ni sehemu ya Tawaf ikiwemo Kubusu na Kushika Al-Hajar Al-Aswad..
Hiyo Imedhihiri Kwa Mtume na Kwa karne na Karne imekuwa Ni sunna Miongoni mwa Sunna Zilizobora kwa Mwenye Kuhijji..
Katika Sahihi Bukhari Mlango wa Hijja Hadithi namba 1610, Iliyopokelewa kutoka Kwa Ibn Umar anasimulia Kuwa..
"Nilimwona Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) alipokuwa akiwasili Makka, alielekea Al-Hajar Al-Aswad, akaligusa kwa mkono wake, kisha akautia busu." (Sahih al-Bukhari, Hadithi No. 1610)
katika Hadithi namba 1597 Umar bin Khattab (R.A) alisema wakati akilibusu Al-Hajar Al-Aswad:
"Najua kuwa wewe ni jiwe, huwezi kuleta madhara wala manufaa. Na kama nisingemuona Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) akikubusu, nisingekubusu." (Sahih al-Bukhari, Hadithi No. 1597)
Sasa sijui Tunajitia Upogu wapi Ndugu zanguni Tukubali Wema Tukubali Pia Na Vitu vyote visimwavyo ambavyo tunavifanya si Vyema Kufanya Taqiya kwa Kukwepa Aibu