Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

Jesuit ni jina tu lakini walikuwepo hata kabla ya Yesu. Wakati Yesu anahubiri Yudea ilikiwa chini ya utawala wa Rumi.

Nchini Ureno kitongoji kinacho itwa Fatima kilipewa jina hilo specifically kwa heshima ya Fatima Bint Muhammad
Hapa umedanganga
 
Kufuata Mambo ya Dini ni Utoto. Wacha utoto mkuu.

Nilikuwaga muislamu kuliko wewe.
Hapa ndipo mnapokosea kujiona mpo sahihi kuliko watu wote.

Hii dunia kila mtu ana anachokitafuta alimradi kinampa amani wewe unamuitaje mtu mzima mtoto wakati anafuata anachokiamini?
 
Kilua ni jina la ki Swahili? Au umemaanisha kulwa?
Kilua ni ua/Mti, kuna mti unaitwa mkilua ambao upo Tanzania/Kenya.

images (21).jpeg


Na sio huo tu karibia miti ama maua yote mazuri yanayo toa harufu nzuri ni majina ya kiisilamu, Waridi, Asmini, Maua, Jasmini, Tausi, Tunda etc.
 
Hivi Mungu na yeye anafungwa na mambo ya tarehe?
Tarehe na Siku Ni illusion Tu na Kwa Kujibu swali lako Mungu hafungwi na Tarehe ila Tarehe zinatuongoza Sisi kujua Majira na Nyakati kwa Kuzihesabu..

Mungu hawezi Kutupa Majira yake ila sisi tunaweka majira ili yatuongeze Kuhesabu siku (Jubilee)..
Kwa mfano Ukienda Chini wana Mwaka wao na Siku zao Uyahudi na Israel hivyo Hivyo..
So Uhesabuji wa Siku na Tarehe ni Tifaufi kwa Kila race
 
Ni kweli hizi ni hoja mfu kama zile hoja zenu za baadhi ya mashehe wasiojitambua kuwa eti Yesu alivaa kanzu hivyo alikiwa muislam au Yesu alizikwa kwa Sanda hivyo ni muislam. 😀😀😀😀😀
YESU ndio alivaa kanzu, ila uisilamu wa Yesu ni mafundisho yake. Tusiharibu Mada ya watu fungua Uzi mpya ama nenda youtube Search Yesu ama Wakristo wa Zamani waliswali vipi, "How early Christians prayed" tumia hio keyword utaona video kibao zikionesha wanaswali kama waisilamu.

Leo hii mtu avae kanzu na makubadhi, kafuga ndevu, aende katikati ya uwanja aanze kuomba kwa kurukuu na kusujudu utasema ni Dini gani? Mtu aliekataza Riba, alifunga, Alifundisha kutoa zaka, kumuabudu Mungu mmoja etc.
 
Kimsingi bro umenena vyema kuhusu kuangukia wakati mmoja hii hata kwangu sio big deal.

Binafsi natambua na kuthamini uwezo wako bro juu ya issue za kidini. Kuna hoja umeiruka hapo ambayo natamani ungeweka neno mkuu.

Uislam kuanzishwa na Wakatoliki. Hii imekaaje? Sema Neno mkuu kwa uzoefu wako.
Hili ni swali Gumu sana kulijibu ila Ni jepesi sana..
Hapana Uislamu Ulianza Kama Dini Inayojutegemea sana..
Na Kwa Bahati mbaya sana Uislamu Umepigana Vita Nyingi sana na Ukristo hata Kumwaga Damu na kuchukua Baadhi ya Nchi za Ukristo kuzitawala Kabla ya Nchi hizo kutwaliwa Tena kwenye Ukristo..Baadhi ya Viongozi wa Kikristo waliuawa na Baadhi ya Viongozi wa Kiislamu Waliuawa Kwenye Historia na Wakristo..

So Siamini Kabisa Kuhusu Hilo..

Kinginr Uislamu kwa 70% ni Tamaduni Za Kiarabu ambazo zilikuwepo Uarabuni Tangu zamani..

Na Usisahau Mtume paulo Alienda uarabuni Kujifunza Tamaduni za Kiarabu kwa miaka mitatu kabla ya Kuleta Injili mpya ambayo Wanafunzi wa Yesu hawakuijua Ambayo leo Hii inaitwa Ukristo..

Wagalatia 1:15-17

“Lakini Mungu aliye ni mtakatifu, aliyeniita tangu tumboni mwa mama yangu, na kwa neema yake alinijulisha mwanawe, ili nihubiri habari njema za yeye kati ya mataifa, sikushauriana na mwili na damu, wala sikupanda kwenda Yerusalemu kwa wale waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda Uarabuni, na kisha nikaenda tena Yerusalemu kuona Kefa, na kukaa kwake siku kumi na nne.”

Anaendelea Kwenye Wagalatia 1:18-19

"Basi, baada ya miaka mitatu nikapanda kwenda Yerusalemu kumwona Kefa, nikakaa naye siku kumi na nne. Lakini sikumuona yeyote miongoni mwa mitume, ila Yakobo ndugu wa Bwana." (Wagalatia 1:18-19)
 
Ninaujua Uislamu kuliko wewe. Nimetoka tu sio kwenye familia na ukoo wa kiislamu bali hadi kabila langu ni wote waislamu.

Anyways kwanini unafunga Ramadhani?
Kuzaliwa kwenye uislam na kutoka kwenye uislam siyo hoja ya kuujua uislam unaweza ukatoka huko ila hata jinsi ya kuswali haujui .

Haya Nafunga Ramadhan kwasababu Mungu kaamrisha

Swali lingine?
 
Ukweli gani wewe!!.. wakristu na wayahudi ndiyo walikua wakifanya mijadala kumpinga mtume akihubiri,kwa hiyo mapadre wakaandika Quran inayosema 'wamekufuru wanaosema hakika ni Mungu masihi mwana wa maryam?..hawakumuua wala kumsulubu..sasa waanzishe uislam dini contrary to christianity Ili iweje?..
ili iwe thesis, ant thesis, synthesis
 
Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana.

Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea ( Vatican).

Anasema Bi Khadija mke wa kwanza wa Prophet Muhammad ( Peace be upon him) alikuwa ni mtawa wa kikatoliki na shushushu wa Vatican ambae alipewa task na Vatican ya kusaidia kupatikana kwa kijana makini, smart, mwenye maadili mema wa kiarabu ili wamtumie kueneza Uislamu ambapo Bi Khadija alizipata sifa hizo kwa prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him)


Alberto Rivera aliprove hoja yake kwa kutumia mifano mingi sana kama vile ufanano wa baadhi ya mambo kwenye ukatoliki na Uislamu kama vile : Architectures, idol worshiping etc.

( Hapo kwenye idol worshiping: Wakatoliki wanasujudia sanamu la Bikira Maria na kutumia vitu kama rosary waislamu wanabusu jiwe la kwenye Kaaba na kutumia vitu kama Tasbihi.

....

Kwanini Ramadhani na Kwaresma zinagongana miaka yote?.

Isije kuwa tunafuata kalenda ya miungu ya Rumi bila kujua kama tunafanya hivyo?



Haya bana


# Fateema is the name of the most favourite daughter of Prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him)


In Catholic Fateema is a holy name attributed to a holy place in Portugal which is known as Fateema. ( Fatima) The place was named after Fateema, the favourite daughter of Prophet Muhammad Peace Be Upon Him.

Bikira Maria mama wa Yesu aliwatokea Lucia, Francis na Yasinta ( watoto wa Fatima Katika eneo liitwalo Fatima huko Portugal)

# Our Lady of Fatima Catholic Choir.


# In the Catholic Church, Maryam the mother of Jesus is venerated. In the Holy Quoran there is a complete chapter attributed to Maryam the mother of Jesus ( Suratul Maryam) . Mama wa Prophet Muhammad aliitwa Amina lakini hajapewa sura kwenye Qur'aan ila mama wa Yesu kapewa.


# Waislamu wanavaa Kanzu wakatoliki wanavaa Kanzu ( mapadri)


# wanawake wa kiislamu wanavaa baibui wanawake wa katoliki wanavaa baibui (masista)


# Mbona kama tunachezewa akili?
Kuhusu Kubusu Jiwe Au Sanamu..
Hili jambo Wote hawalikwepi Waislamu, Wakristo au Wayahdi wote wana Ibada Zinazoelkea au Zinazofanan na Hizo
 
ili iwe tiesis, ant thesis, synthesis
Katika Comments Zote Hii Coments Nimeipenda Kuliko Zote 😀😀👋👋
Itoshe Kusema Wewe Ndiye Great Thinker wa Leo..

Ya Kuwa Ili Iwe "thesis,Antithesis and Synthesis"..

Kwa Hiyo Argument yako Ni Ngumu Kwa Mtu kuweza Kuipinga Its More Bold than Its Look
 
Ukweli gani wewe!!.. wakristu na wayahudi ndiyo walikua wakifanya mijadala kumpinga mtume akihubiri,kwa hiyo mapadre wakaandika Quran inayosema 'wamekufuru wanaosema hakika ni Mungu masihi mwana wa maryam?..hawakumuua wala kumsulubu..sasa waanzishe uislam dini contrary to christianity Ili iweje?..
Ili wawafitinishe mayahudi na waitawale Jerusalem.
Hadijah na Waraqah walikuwa wakatoliki.
 
Ili wawafitinishe mayahudi na waitawale Jerusalem.
Hadijah na Waraqah walikuwa wakatoliki.
Halafu 1010 papa anatangaza vita vya msalaba dhidi ya waislam huko mashariki ya Kati (jerusalem ikiwemo),baada ya waislam kuitawala jerusalem kwa karne kadhaa, hakuna mantiki,baada ya kushindwa kupambana kihoja na uislam (Quran),mmeamua kuzuazua mambo
 
Back
Top Bottom