Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #201
2.5mAcceptable Height ya Opening ya Mlango ama Lintel ni how much meters?
nI RULE OF THUMB?2.5m
No! 2.5m its not a standard height! Height of an opening(s) to lintel/beam depends on the design and function of the structure!nI RULE OF THUMB?
Hebu tupe maelekezo zaidi mtaalamNo! 2.5m its not a standard height! Height of an opening(s) to lintel/beam depends on the design and function of the structure!
Mlango kama mlango kawaida huwa ni futi 7 sawa na mita 2.1 (hii ni kwa sababu average height ya watu wa karne hizi za karibuni inarange kwenye futi 5 mpaka 6 na point japo wapo wanaozidi hiyo futi 7 lakini ni nadra, kwa hivyo mlango wa futi 7 anaweza kupita mtu yoyote bila kuinamisha kichwa chake)Acceptable Height ya Opening ya Mlango ama Lintel ni how much meters?
Hizo vents ni necessary?Mlango kama mlango kawaida huwa ni futi 7 sawa na mita 2.1 (hii ni kwa sababu average height ya watu wa karne hizi za karibuni inarange kwenye futi 5 mpaka 6 na point japo wapo wanaozidi hiyo futi 7 lakini ni nadra, kwa hivyo mlango wa futi 7 anaweza kupita mtu yoyote bila kuinamisha kichwa chake)
Kama utahitaji kuwe na vent juu ya mlango, maana yake opening/ frem ya mlango itakuwa ni futi 8 mpaka 9 au zaidi ya hapo kutegemeana na size ya vent unayohitaji kuweka.
Yes, ukisema lintel beam ifate urefu wa mlango (mita 2.1), nyumba itakuwa fupi ambapo kati ya mkanda wa chini na mkanda wa juu utapata kama kozi 8 tu badala ya 10 (au zaidi). Labda uweke mkanda mwingine kati kati (yani kuwe na beam juu ya mlango ya kushikilia kozi moja halafu ndipo uweke mkanda wa kunzunguka nyumba nzima ambapo haitaleta muonekano mzuri kutokana na hizi heights kutofautiana kwa kiasi kikubwa pia inaongeza gharama zaidi) vinginevyo utalazimika kutengeneza mlango unaozidi hizo futi 7Hizo vents ni necessary?
Mawasilianao vipi, nahitaji hii ramani.PLN 0001 2BR
Ramani ya Vyumba Viwili
- Living room (Sebule)
- 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C)
- 1 Single bedroom
- Kitchen (Jiko)
- Public toilet (Choo cha jumuiya)
Ramani hii ina privacy na ventilation ya hali ya juu sana
Bei: Tsh. 100,000/=
Ramani inakuwa na Makadirio yake ya vifaa vya ujenzi kuanzia hatua ya msingi mpaka finishing ambapo itakusaidia kukuongoza katika manunuzi ya vifaa na kuepuka kulanguliwa na mafundi wenye tamaa ya kukuzidishia hesabu ili wajinufaishe zaidi.
View attachment 2694970
Karibu ndg +255(0)624068809Mawasilianao vipi, nahitaji hii ramani.
Ramani ya chumba kimoja kitchen n toilet yenye makadirio unaiuzajeRamani, Makadirio na Ushauri kuhusu ujenzi tuwasiliane +255(0)624068809
75,000 mkuu, ramani na makadirio yakeRamani ya chumba kimoja kitchen n toilet yenye makadirio unaiuzaje