Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 873
- 3,307
- Thread starter
-
- #421
Mimi huwa namjibu mtu kulingana na namna alivyouliza...kwani wangapi huko juu wameuliza maswali kwa lengo la kutaka kujua na nimewajibu tu vizuri? Mtu anayeuliza kwa lengo la kutaka kujua anauliza namna hiyo? We umekuja kwa lengo la kubishana, kwamba uonekane we ni mjuzi zaidi kuliko wengine. Endelea tu na nyuzi zako bro, mimi nipo hapa kibiashara sijaja kubishana na watu, atakayeuliza kistaarabu nitamjibu kistaarabu pia (mimi ni mtu mmoja peace sana, sipendagi kujibizana na watu kwa sababu ambazo hazina msingi)nimeuliza swali moja tu ambalo nilihitaji ufafanuzi simple coz hamna mtu anayejua kila kitu, and unaongelea vitu ambavyo hata havihusiani duh...
Napost kila napokuwa na mda ,coz yapo mengi ya kuwajuza watu....
Kumbe wanifuatilia,sasa si tayari nishapata umaarufu au...
Anyway bro mimi huwa siyo mtu wa hivyo am doing out of passion,kama umekwazika aya.
Usikimbie mkuu,,jMimi huwa namjibu mtu kulingana na namna alivyouliza...kwani wangapi huko juu wameuliza maswali kwa lengo la kutaka kujua na nimewajibu tu vizuri? Mtu anayeuliza kwa lengo la kutaka kujua anauliza namna hiyo? We umekuja kwa lengo la kubishana, kwamba uonekane we ni mjuzi zaidi kuliko wengine. Endelea tu na nyuzi zako bro, mimi nipo hapa kibiashara sijaja kubishana na watu, atakayeuliza kistaarabu nitamjibu kistaarabu pia (mimi ni mtu mmoja peace sana, sipendagi kujibizana na watu kwa sababu ambazo hazina msingi)
nyumba nzuri inatakiwa iwe na kozi ngap mkanda wa chini mpaka lenta na kozi za juu?Wakati unasuka nondo kwa ajili ya mkanda wa juu, funga matoleo ya nondo sehemu za madirisha ili hata baadae ukitaka kuweka kofia za zege usipate shida tena kutindua tindua
Kozi 10 kati ya mkanda na mkanda, kozi 3 juu ya mkanda wa juu. Kama utapendelea madirisha marefu, weka kozi 11 au 12 kati ya mkanda na mkandanyumba nzuri inatakiwa iwe na kozi ngap mkanda wa chini mpaka lenta na kozi za juu?
Mkuu inawezekana nondo za mm 12 zikatumika kwenye nguzo za ghorofa 1 nyumba ya kawaida ya familia?Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane +255(0)624068809
Kwa jengo la ghorofa moja, minimum diameter ya nondo kwa nguzo inayotakiwa kutumika ni milimita 16, hiyo ya milimita 12 watu wanaforce tu kupunguza gharama.Mkuu inawezekana nondo za mm 12 zikatumika kwenye nguzo za ghorofa 1 nyumba ya kawaida ya familia?
Maana kuna wanaosema inawezekana kuna wanaosema katu ki structural engineering haitakiwi kamwe maana nguzo za ghorofa moja ni sharti ziwe mm 16 full stop.
Ok kuna majengo ya ghorofa 1 nimeona hawaweki jamvi yaan boma linaanzia tu baada ya mkanda wa chini as if ni nyumba isiyo ya ghorofa na wanaweka tu rough floor then tiles ingawa yana nguzo, mikanda na base kawa kawaida ya ghorofa zinavyojengwa hii kitaalam ni sahihi? je haiwezi pelekea jengo kutitia au kuanguka?Kwa jengo la ghorofa moja, minimum diameter ya nondo kwa nguzo inayotakiwa kutumika ni milimita 16, hiyo ya milimita 12 watu wanaforce tu kupunguza gharama.
Kwenye jengo la ghorofa, nondo za milimita 12 huwa zinatumika kwenye slab na ngazi
Hapana, uzito wa jengo huegemea kwenye vitako vya nguzo (footings) na kupelekwa moja kwa moja ardhini sio kwenye jamvi la chini (Oversite concrete). Jamvi la chini linasaidia kuongeza uimara wa floor, na uzito wake hupelekwa ardhini moja kwa moja bila kubebwa na mkanda/nguzo (asilimia chache ya uzito ndio unaweza kubebwa na beam kama nondo zitatumika)Ok kuna majengo ya ghorofa 1 nimeona hawaweki jamvi yaan boma linaanzia tu baada ya mkanda wa chini as if ni nyumba isiyo ya ghorofa na wanaweka tu rough floor then tiles ingawa yana nguzo, mikanda na base kawa kawaida ya ghorofa zinavyojengwa hii kitaalam ni sahihi? je haiwezi pelekea jengo kutitia au kuanguka?
timanzi ni nini?Kabla ya kuanza kupiga plaster katika kuta, hakikisha fundi wako anaweka timanzi katika kuta ili kuhakikisha plaster yako inanyooka vizuri hata kama ukuta ulikuwa umepinda mahali. Ni vizuri timanzi akaziweka siku moja kabla ili zipate muda wa kutosha kukauka
Ramani, Makadirio au Ushauri kuhusu Ujenzi tuwasiliane