Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #561
RAK Ceramics pia wapo vizuriKampuni gani ya vyoo vya kukaa ina vyoo vizuri?
Share ramani ya banda , naweza kukusaidiaWakuu,samahani kwa kuvamia uzi,nina Banda la square meter 116. Naomba kusaidiwa idadi ya bati za kufunika paa lake ,ni ramani ile ya kona kona .siyo mtaalamu sana msaada
Pm au hapaShare ramani ya banda , naweza kukusaidia
Ata hapa hapa sio mbayaPm au hapa
Shakuwekea pm.Ata hapa hapa sio mbaya
Nashindwa kureply sijui ndio umefunga pmShakuwekea pm.
Ngoja nifungueNashindwa kureply sijui ndio umefunga pm
Nimesha fungua vipi bado inashindikanaNashindwa kureply sijui ndio umefunga pm
Ata hapa hapa sio mbaya
Wakuu,samahani kwa kuvamia uzi,nina Banda la square meter 116. Naomba kusaidiwa idadi ya bati za kufunika paa lake ,ni ramani ile ya kona kona .siyo mtaalamu sana msaada
ungetupigia na picha halisi ya hicho ulichokijenga, Mkuu Hechy Essy kwa uzoefu wako inawezekana kwa budget hiyo?Hiki nimekijenga kimekula kama 10
Umetumia App gani mdau?
Autodesk Revit 2024Umetumia App gani mdau?
Nimeona kiongozi na ramanj ya roof iko hivyo hivyo . Nilichokuwa naomba ni idadi ya bati zinazotosha kufunika hilo Banda. Na nashukuru kwa ushauri wa kuweka kozi nne baada ya RentaMkuu makadirio ya roof area niliyopata kutokana na ramani hiyo ni square meter 165.2
(Actual ni 157.33m² +5% tolerance = 165.2m²). Angalia picha hapo chini ina details zaidi
View attachment 3018986View attachment 3018987