Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #681
Jitahidi sana mkanda wa juu, kina chake kisipungue nchi 6 sawa na sentimita 15...Ukiweza weka hata nchi 8 itakuwa bora zaidi maana juu ya sehemu ambazo zina madirisha na milango kuna mzigo mkubwa unabebwa na huu mkanda.
Huduma ya kutembelea site (Site Visit) ipo, ni kila jumamosi na jumapili
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Wengi wanaweka vioo siku hizi ila nijuacho ni kuwa zina umuhimu sana katika kulifanya dari lipumue nyakati za joto kali iwapo zitawekewa louversRekebisha hizo vent za huko kwenye paa, hazina kazi yoyote zaidi ya kuozesha ceiling board
Kwa mkanda wa juu, ni vyema ukatumia nondo nne nne, ila kwa mkanda wa chini ukitumia nondo tatu tatu haina shida.Mkanda wa Inch 8 lazima uwe na nondo nne mraba zilizosukwa au hata tatu kwa pembetatu tu..
Thanks nilitumia nne mikanda yote ila kuna sehemu nondo zilikua zimetokeza zinaonekana sijui walipunja mchanga kwenye zege au ni lile Box lilikosewa. Kuna fundi akawa ananiambia sijui mpiga box hakutumia pipe level. Pipe level ni nini😥Kwa mkanda wa juu, ni vyema ukatumia nondo nne nne, ila kwa mkanda wa chini ukitumia nondo tatu tatu haina shida.
Kama utatumia nondo tatu tatu mkanda wa juu, basi ni vizuri sehemu zote zenye uwazi (milando na madirisha) ukaongeza kipande cha nondo upande wa chini, yani ikawa ni nondo 3 chini, nondo moja juu kwa ajili ya kushikilia ringi
Hapo kuna mawiliThanks nilitumia nne mikanda yote ila kuna sehemu nondo zilikua zimetokeza zinaonekana sijui walipunja mchanga kwenye zege au ni lile Box lilikosewa. Kuna fundi akawa ananiambia sijui mpiga box hakutumia pipe level. Pipe level ni nini[emoji26]
Mkuu unajua sana….Unajua mnoSawa ndg, All in all jaribu kuheshimu kitu kinachompatia mtu riziki hata kama kwako hakikufai kwa maana ni Mungu Mwenyezi ndiye aliyempangia apate riziki kupitia kitu hicho. Haijalishi una mali kiasi gani, una cheo gani maisha ni mapito hivyo hakuna sababu yoyote inayoruhusu binadamu kudharauriana. Ramani yangu ni takataka sawa, lakini kuna elimu pia naitoa hapo mbali na kuuza ramani (hata hiyo pia haikufai?)
+255(0)624068809 karibu ndgNaomba mawasiliano yako ya WhatsApp
Center to center ni sentimita 30 sawa na futi 1Hivi zile bati za steps (muundo kigae) mbao zake zinapigwa karib karibu sana hua wanaweka centimetres (cm) ngap kuachan baina ya mbao na mbao View attachment 3068356