Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
- #721
Binafsi sijawahi kutumia aina hii ya slab lakini lengo hasa la kuweka hizo tofali ni kupunguza kiasi cha material yatakayohitajika kwenye zege ambapo inapunguza hizo gharama na pili ni kupunguza uzito wa slab yani self weight (hizo tofali huwaga ni hollow blocks, ni tofali ambazo kati kati zinakuwa na matundu)Mkuu kuna slab siku hizi zipo namna hiyo hapo chini naomba nijuze unayofahamu kuhusu slab hizi maana wanadai zinapunguza sana gharama but nina mashaka kuhusu ubora in the long run.
View attachment 3075165View attachment 3075166View attachment 3075168View attachment 3075169