Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #721
Binafsi sijawahi kutumia aina hii ya slab lakini lengo hasa la kuweka hizo tofali ni kupunguza kiasi cha material yatakayohitajika kwenye zege ambapo inapunguza hizo gharama na pili ni kupunguza uzito wa slab yani self weight (hizo tofali huwaga ni hollow blocks, ni tofali ambazo kati kati zinakuwa na matundu)Mkuu kuna slab siku hizi zipo namna hiyo hapo chini naomba nijuze unayofahamu kuhusu slab hizi maana wanadai zinapunguza sana gharama but nina mashaka kuhusu ubora in the long run.
View attachment 3075165View attachment 3075166View attachment 3075168View attachment 3075169
Ok Engineer ujenzi wa aina hii nimekuwa nikiuona Nigeria, Uganda, Kenya na bongo nimeona napo umeanza hivi karibuni, kwa Kenya nafahamu kampuni inayouza hizi slab imekuwa ikizingatia sana viwango kwa maana ya kufanya materia testing n.k.Binafsi sijawahi kutumia aina hii ya slab lakini lengo hasa la kuweka hizo tofali ni kupunguza kiasi cha material yatakayohitajika kwenye zege ambapo inapunguza hizo gharama na pili ni kupunguza uzito wa slab yani self weight (hizo tofali huwaga ni hollow blocks, ni tofali ambazo kati kati zinakuwa na matundu)
Kawaida teknolojia mpya inapoanza kutumika mahali, huwa inasubiriwa muda flani upite (let say miaka 10, 20 n.k) ndipo watu wanakuja na conclusion kwamba teknolojia hii itatufaa au lah vinginevyo mtu akubali kuwa chambo/tester (watu wapate majibu kupitia yeye)Ok Engineer ujenzi wa aina hii nimekuwa nikiuona Nigeria, Uganda, Kenya na bongo nimeona napo umeanza hivi karibuni, kwa Kenya nafahamu kampuni inayouza hizi slab imekuwa ikizingatia sana viwango kwa maana ya kufanya materia testing n.k.
Nafikiri soon utaanza kutumiwa na kushauriwa na wataalam wengi wa ujenzi kwa kadiri utaalam utakavyoruhusu.
Hizi wanapiga Bongo?Mkuu kuna slab siku hizi zipo namna hiyo hapo chini naomba nijuze unayofahamu kuhusu slab hizi maana wanadai zinapunguza sana gharama but nina mashaka kuhusu ubora in the long run.
View attachment 3075165View attachment 3075166View attachment 3075168View attachment 3075169
Yes zipo search hawa instagram, facebook (DGNE precast) na kuna wengine nimewasahau ila if una muda serach tu pre cast slab dar es salaam utaona waliopoHizi wanapiga Bongo?
Nimeipenda elimu yako.PLN 0001 2BR
Ramani ya Vyumba Viwili
Ramani hii ina privacy na ventilation ya hali ya juu sana
- Living room (Sebule)
- 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C)
- 1 Single bedroom
- Kitchen (Jiko)
- Public toilet (Choo cha jumuiya)
Bei: Tsh. 100,000/=
Ramani inakuwa na Makadirio yake ya vifaa vya ujenzi kuanzia hatua ya msingi mpaka finishing ambapo itakusaidia kukuongoza katika manunuzi ya vifaa na kuepuka kulanguliwa na mafundi wenye tamaa ya kukuzidishia hesabu ili wajinufaishe zaidi.
View attachment 2694970
Fundi nina swali kidogo. Ninategemea kujenga nyumba ya mfumo huu hapa chini... Sasa nilitaka kufahamu, je kutakuwa na shida kwenye upauaji/batiWakati mwingine chemba za vyoo huwa zinajaa kwa sababu bomba zinazosafirisha uchafu zinakuwa zimepasuka chini kwa chini na kufanya mchanga/udongo uingie kwenye bomba na kuziba njia kwa hivyo uchafu unakuwa haufiki kwenye karo (unapotelea sehemu zenye leakage katika bomba)
Hapa solution ya kudumu ni kubadilisha bomba in case kama zitakuwa zimepasuka lakini pia ni vizuri ukatumia bomba ambazo kuta zake ni nene (hakikisha kabla hujanunua, unaminya kule mwisho wa bomba uone kama inabonyea au lah)
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Hakuna shida yoyote, structure hata iwe na shape yoyote inapauliwa vizuri tuFundi nina swali kidogo. Ninategemea kujenga nyumba ya mfumo huu hapa chini... Sasa nilitaka kufahamu, je kutakuwa na shida kwenye upauaji/bati View attachment 3078960kulingana na hizo kona zilizopo kwenye jengo?
Kwangu attachment hazifunguki ndg, naona itakuwa kuna shida kwemye appFundi nina swali kidogo. Ninategemea kujenga nyumba ya mfumo huu hapa chini... Sasa nilitaka kufahamu, je kutakuwa na shida kwenye upauaji/bati View attachment 3078960kulingana na hizo kona zilizopo kwenye jengo?
Sawa nimekucheki inboxKwangu attachment hazifunguki ndg, naona itakuwa kuna shida kwemye app
3 bedroom ramani tuongeeKaribu mkuu, upate ramani pamoja na makadirio yake
Ok sawa ndg, tuwasiliane +255(zero)6240688093 bedroom ramani tuongee