Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #141
Kaka nashukuru Kwa somo Kuna mengi ninejifunza Ila Mimi Nina mjengo wangu nimekwama kwenye kupaua maana mahesabu ya mafundi wengi yanagonga kwenye milioni kumi mpaka kumi na mbili Sasa nimewaza labda nibadilishe aina ya paa nipaue hii ya kuficha bati labda gharama zitapungua na je Kwa uzoefu wako naweza kusave kiasi gani? Nyumba ni room tatu master mbili ya kawaida moja na pablic toilet na jiko stoo siting room na dining Ila pia ni nyumba yenye konakona nyingiRamani, Makadirio na Ushauri tuwasiliane
Binafsi sikushauri utumie huo mfumo wa kuficha paa kwa sababu kwanza inahitaji umakini mkubwa sana katika upauaji, unaweza ukajikuta unaingia kwenye hasara ya kubadilisha huo mfumo ndani ya miezi michache ijayo.Kaka nashukuru Kwa somo Kuna mengi ninejifunza Ila Mimi Nina mjengo wangu nimekwama kwenye kupaua maana mahesabu ya mafundi wengi yanagonga kwenye milioni kumi mpaka kumi na mbili Sasa nimewaza labda nibadilishe aina ya paa nipaue hii ya kuficha bati labda gharama zitapungua na je Kwa uzoefu wako naweza kusave kiasi gani? Nyumba ni room tatu master mbili ya kawaida moja na pablic toilet na jiko stoo siting room na dining Ila pia ni nyumba yenye konakona nyingi
Ndio natumia aina hiyo ya batiBinafsi sikushauri utumie huo mfumo wa kuficha paa kwa sababu kwanza inahitaji umakini mkubwa sana katika upauaji, unaweza ukajikuta unaingia kwenye hasara ya kubadilisha huo mfumo ndani ya miezi michache ijayo.
Hiyo milion 10 mpaka 12 mbona ni nyingi sana? Au unatumia bati za versatile / romantile?
Hizo bati mita moja ni kati ya 23,000 mpaka 25,000 so mfano kwa bati moja la mita 3 itakuwa ni sawa na 23,000×3 = 69,000/pcNdio natumia aina hiyo ya bati
Wasomi wa kileo utawajua tu.
Nyumba za kuficha bati huwa tunatumia bati za migongo midogo ili kupunguza risk ya uvujaji wa maji kipindi cha mvua. Bati za migongo mipana, migongo yake ina sehemu ambayo iko flat hivyo kama maji yatakuwa yanatembea kwa kasi ndogo kutokana na slope kuwa ndogo, uwezekano wa maji kuingia kwenye matundu ya misumari ni mkubwa zaidi licha ya misumari kuwa na rubberKiongozi swali langu je nyumba ya kuficha paa inafaa kupaua na Bati mgongo mpana AU Mgongo mdogo?
Asante
Asante kiongoziNyumba za kuficha bati huwa tunatumia bati za migongo midogo ili kupunguza risk ya uvujaji wa maji kipindi cha mvua. Bati za migongo mipana, migongo yake ina sehemu ambayo iko flat hivyo kama maji yatakuwa yanatembea kwa kasi ndogo kutokana na slope kuwa ndogo, uwezekano wa maji kuingia kwenye matundu ya misumari ni mkubwa zaidi licha ya misumari kuwa na rubber
Pamoja mkuuAsante kiongozi