Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Naomba kuelimishwa! Nimeona ktk Ujenzi hususan majengo ya Serikali (madarasa) badala ya kufunga MKANDA niliona wamemwaga zege jengo Zima kisha wakaanza kunyanyua! Nini umuhimu zege kufunika jengo lote na sio mkanda wa msingi tu?Kabla ya kumwaga zege, ni vizuri kupamwagia maji sehemu ambapo unataka kumwaga hiyo zege ili maji yaliyopo kwenye zege yasifyozwe na kusababisha kasi ya reaction kati ya cement na maji (hydration) kupungua na kufanya zege isifikie ule uwezo wake halisi wa kubeba mzigo