Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Wakati Russia anajipanga, Ndio USA anatengeneza watu maabara wengi na kuwajaza Ukraine. Ngoma inogile mpaka afilisike yaaniPutin kajiongeza mapema na kuna washauri wamempa ushauri aachane na vita hii ambayo haitaisha kwasababu Nia ya western countries ni kurefusha vita ili Russia afilisike kiuchumi.
Nampongeza Putin Kwa kuanza kuondoa majeshi yake nyuma tunajua plan yake ya kuiteka Ukraine Kwa njia ya invasion imeshindikana Acha akajipange na plan B tuone itakuaje