Vyumba 2 kimoja master na sebule.Kutoa kitu itatategema mapenzi Yako mkuu unataka Nini.
Ila hapo unaweza kupata Chumba na choo chake, sebule Fulani ndogo
Na eneo litabaki Kwa ajili ya watoto kucheza.
NomaAsante mkuu, watu wanataka ramani na vipimo vyake, atakaye ielewa anakuja tunafanya kazi, Nampa vipimo.
Otherwise unaweka hapa Ramani na vipimo vyake, mtu anachukua anaenda kuuzia wengine, wakati hapa ameichukua for free.
Hili sio jukwaa la matangazo ya biashara, kaipost kwenye jukwaa la matangazo ya biashara acha ubabaishaji.Unataka vipimo wewe kama nani?
Nimeshare ramani, atakayeipenda anakuja nampa vipimo tunafanya kazi.
Au haujui Ramani zinalipiwa?
Unaweka ramani na vipimo, mtu anachukua ramani anaenda kufanya kazi au anaenda kuuzia watu wakati ameichukua hapa Bure.
Au unajua kuchora ramani ni simple kama kuwa chawa na kupata ulaji?
Ponjoro wa Kinondoni wataka vya bure Sheikh
Weka vipimo hiyo si ramani acha uhuniMkuu Hapa siyo UN kwamba Kuna vitu vya msaada, acha kujitoa ufahamu
Ramani nzuriiHabari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.
Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k
Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.
Karibu nikujengee nyumba yako, huduma ni ya kitalii ila bei ya Wazawa.
0624254690
Karibuni.
RRONDOView attachment 3513008
Fafanua zaidi mkuu.Kuna plan kwa kajumba kadogo ka kufikia shamba, kistudio flani tu choo bafu kisiwe ndani,
pembeni patafaa au kuwe na mlango separate kwenda huko.
Nipe ramani
Chumba tu au hata na sebule,kulala pale maybe siku 1 shamba boy anakaa kila siku patie Estimate.Fafanua zaidi mkuu.
Hako kajumba kanakuwa ka Chumba Kimoja au? Sebule? ?
?
Hebu weka maelezo vizuri
wewe umesema unaweka ramani sio hilo limchoro ulilo download pinterest.Kwanza unajua ramani zinalipiwa?
Mpaka hapo mchoro niliouweka mwenye kuelewa na anahitaji basi atakuja nimpe vipimo vyake na tufanye kazi.
Kaka naomba tufanye mtiani wa form 4 Pepa saba naomba kabisa upewe essay questions zotee..Nilijua umeshare ramani kumbe foolish.
Ramani gani haina vipimo? Ramani gani haijakamilika?
Wow!!!!! Gari bei yake ni 280k????? Ni kampuni gani wanazalisha hiyo gari. Bei ndogo kuliko Infinix au ZTE!!!! Kichwa kinauma hapa.Mende ni Gari ya Mchanga bei yake inarange 280,000 kulingana na eneo husika mkuu
Akili Yako kumbe ndogo mkuu, kwahiyo kumbe unajua hiyo picha nimechukua Pinterest?wewe umesema unaweka ramani sio hilo limchoro ulilo download pinterest.
Nakuunga mkono kwa hali zote. Huu ni ujuzi unaotakiwa malipo. Ni kama kwenda hospital, unalipia vipimo.Vipimo ndiyo kazi yenyewe mkuu.
Nimetolea ufafanuzi bila shaka.
Ukiielewa ramani unakuja nakupa vipimo tunafanya kazi.