Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

Akili Yako kumbe ndogo mkuu, kwahiyo kumbe unajua hiyo picha nimechukua Pinterest?
Kuna wadau kadhaa wameomba mchoro wa ramani Kwa maelezo Yao, nitachora na nilete hapa, useme pia nimetoa wapi.
Usilumbane nao. Wanakupotezea muda bure. Wenye akili wanajua ramani siku zote zinalipiwa.
 
Kwa sisi wengine ambao sio wataalamu wa ramani tunaona bado umegicha white ni hadi tuoneshwe mchoro halisi wa nyumba.

Muonekano wa nje yaani baada ya kukamilika kwa ujenzi unaweza kuonesha jinsi itavyokuwa au napo utakuwa ume reveal baadhi ya mbinu ambazo zita athiri biashara yako?
 
Vyumba 2 kimoja master na sebule.
Sio lazima vyumba kuwa vikubwa sana.
Mchoro unakuwaje?
Niko kwenye kukamilisha mchoro wako mkuu, ila naona hapa wageni wako watajisaidia wapi? Maana wewe utakuwa na choo chako chumbani, hao wanaoishi Chumba Cha pili wataenda wapi?
Mpaka Sasa Chumba chako chenye choo ndani, Chumba na sebule vinatosha kwenye eneo lako,
Tukisema tuongeze Choo Cha public eneo linakuwa dogo,.
Mpaka Sasa sebule Ina futi 10 πŸ€” tukisema tuipunguze au tupunguze master Yako haileti itakuwa kituko
 
Usilumbane nao. Wanakupotezea muda bure. Wenye akili wanajua ramani siku zote zinalipiwa.
Hakika mkuu, Kuna msemo unasema "Asiyejua maana, usimwambie maana"
 
Hapana mkuu, mara nyingi vipimo ndiyo muhimu Kwa kawaida.
Kuna baadhi ya future kuzipata natakiwa kulipia Ili kukamilisha, Sasa anakuja mtu bila hata lugha ya kueleweka anapayuka
 
Pamoja na maujanja yangu, 'mchanga mende' sielewi ni mchanga wa namna gani na sijawahi kusikia.
 
Niione pic ya nyumba ikikamilika,halafu makadirio ya bei
 
Tuache utani hii ramani ni nzuri
 
Mm sio mtaalamu wa ujenzi ila kulingana na huo mchoro n kwamba mtu aliyepo sebuleni anamuona aliyepo chumbani, Kitu ambacho naona hakijakaa poa.
 
Baada ya siku 1500, Sir God akitupa uzima, ntakutafuta kwa ajili ya hii project

Chumba 1 (master)
Vyumba viwili
Sebule
Jiko
Na sehemu fulani hv ya kupaki hata gari moja/pakupumzikia

Nimeipenda hii πŸ‘‡ ila hapo Ongeza chumba kingine kimoja πŸ”₯

 
Mkuu, em hii ramani kama ilivyo ongezea chumba kimoja afu nikione itakavyokuwa πŸ™

 
Duuh, punguza jiko mzee tupate Nya ya watoto chumba 3.0 au 2.9 inatosha maana ni small haus hatuchez disco
 
Mkuu, em hii ramani kama ilivyo ongezea chumba kimoja afu nikione itakavyokuwa πŸ™

View attachment 3513214
Mkuu, hii ramani nilimmchorea jamaa alitaka kijumba simple. Ukiangalia hapo Iko na mlango mmoja wa kuingia na kutoka.
Kuongeza Chumba Kimoja inakuwa nyumba kubwa tayari vipimo vyake vinahama.
Lazima ipatikane korido ya kuelekea huko chumbani, kwahiyo itabadikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…