Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

Mm sio mtaalamu wa ujenzi ila kulingana na huo mchoro n kwamba mtu aliyepo sebuleni anamuona aliyepo chumbani, Kitu ambacho naona hakijakaa poa.
Uko sahihi mkuu, nimeficha chumba Cha master mtu hawezi kuonekana, ila Chumba kidgo kama mlango ukiwa wazi unaweza kuona.
Kwa Ramani jinsi ilivyo mtu ataona kabati la nguo mlango ukiwa wazi, kitand kinakuwa nyuma ya mlango.
 
Duuh, punguza jiko mzee tupate Nya ya watoto chumba 3.0 au 2.9 inatosha maana ni small haus hatuchez disco
Jiko kivipi mkuu eneo halitoshi. Au una maana tupunguze sebule? Itakuwa ndogo mkuu. Nipunguzie iwe mita 3
 
Jiko kivipi mkuu eneo halitoshi. Au una maana tupunguze sebule? Itakuwa ndogo mkuu. Nipunguzie iwe mita 3
fresh tu mzee punguza msebule mkubwa hatuchezi disco
 
Kama Ukiwa na nafasi em niwekee huo mchoro ukiwa imeongezeka hicho kichumba kimoja nione.
 
Vipi kuhusu roof inakuwaje? Leta ramani ya paa. Na gharama zote zinakuwaje?
 
Wekaaaaa bahariaaaaaaaaaa
(In manifongo voice)🤫😁
 
fresh tu mzee punguza msebule mkubwa hatuchezi disco
Eneo lako mkuu ni Dogo Mita 8x7 kulinganisha na kitu unachotaka kitoke.
Nimechora ramani kadhaa Kila Moja inabana eneo naanza upya.

Ila hii hapa iangalie, nimeishia hapa.
Ni vyumba viwili, kimoja kina choo ndani, sebule na public toilet

Hiyo sebule inakuwa na dirisha Moja, ila kubwa,
pembeni pale Kuna eneo dogo utafanya kama sehemu ya kupikia.

Nimeangalia jinsi ya kuficha huo mlango wa Chumba kidogo eneo halitoshi itabaki kama unavyoona.

Kama utaielewa njoo nikupe vipimo vyake, itachukua Tofali 1,350 hivi
 
Hii itachukua tofali 1350 hivi, ni kijumba simple
 
Ponjoro wa Kinondoni hii Tena umetoka Pinterest?
 
Daah Ukweli eneo ni 9x7 sema hiyo mita 1 nimetoa tupate chocho ndio maana nikasema 8x7.
Vipimo vinaenda ngapi?
 
Daah Ukweli eneo ni 9x7 sema hiyo mita 1 nimetoa tupate chocho ndio maana nikasema 8x7.
Vipimo vinaenda ngapi?
Kwa ufupi master imetoka ya futi 10x11 (hicho ni Chumba, choo kina vipimo vyake.
. Chumba Cha pili 10x9sebule 10x10
 
Chumba tu au hata na sebule,kulala pale maybe siku 1 shamba boy anakaa kila siku patie Estimate.
Chumba, Sebule, na choo

Tofali 1000

Nimejaribu kuficha mlango wa chooni na Chumbani mtu ambaye Yuko Sebuleni asione huko Moja Kwa Moja bila kufanya nyumba iwe kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…