Range Rover 2022

Rafiki yangu ana VX LC200 gearbox imekufa mara mbili bila kujua sababu, does it mean hizi lc200 ni mbovu? Hayo maneno youtube ni kama yako tu, ingekuwa hayo maneno ni fact kwa kila gari hamna mtu angenunua hizo gari. Mtu na akili zake atoe $165,000 kununua gari bovu,seriosly?!!!
 
Magari kama haya matajiri wanayatumia kama status symbol tu. Hawajali suala la reliability. Angalia hata online (siyo YouTube peke yake). Magari haya hayako reliable lakini bado yanauzika, ni kwa sababu kwa nnje ni mazuri na pia ni status symbol kwamba mtu naye ana mpunga. Na matajiri hawa ni wale wa kiwango cha kati na chini. Maana matajiri wale wa ukweli utawakuta na Rolls, bentley etc!
 
Ha ha ha.
 
Hakuna fact huko bhana tusingeendesha magari mimi mwaka 2001 nilileta Honda balade ilikua Auto wanunuzi walikua na hoja kama zako kuwa hizi gari Auto zinasumbua mno na kipindi hicho auto zilikua za kutafuta ni kama sasa hivi RR za kutafuta wachimba chumvi tutaongea lolote nilimwachia ndugu yangu mpaka kesho anaitumia nilipoondoka wakata wauziwe baada ya kuona chuma kipo tuu...hizo ni gari Mzee acha mambo yako
 
Mkuu umemaliza hapo uliposema " hawana akili ".. tayari hapo ushajua wasio na akili
 
Ford Ranger pick up wild Truck ni class moja na Toyota Hilux lakini mziki wa Hilux kwenye kazi huwezi kufananisha na Ford Ranger na ndio maana hata resale value ya Hilux inakua juu zaidi. Chukua hii Land Cruiser ya mwaka let’s say 2000 alafu weka na na RR ya same year angalia bei zake.!
 
Kweli mkuu. Ununue likiwa jipya utembelee kidogo then uuze la sivyo utapata magonjwa ya moyo hasa kama hela yako ni ya mawazo
Usema kweli sikubaliani na hoja zenu. Maana yake wazalisha wa gari za ulaya hawana akili kuliko sie watumiaji huku Tanzania ? kiasi kwamba miaka yote watengeneza gari mbaya ? Shida huku hela hakuna watu wanapata pa kujifichia hapo
 
Usema kweli sikubaliani na hoja zenu. Maana yake wazalisha wa gari za ulaya hawana akili kuliko sie watumiaji huku Tanzania ? kiasi kwamba miaka yote watengeneza gari mbaya ? Shida huku hela hakuna watu wanapata pa kujifichia hapo
Hata Ulaya wenyewe wanajua hii mambo.
“ A used S-class might be a $900 car when you buy it, but it's still a $100000 car when it needs a repair.”
 
EU na North America kwa matajiri wa kufa mtu hawauzi hiyo LC300 ambayo mnaona ni reliable.

Pia mnasahau kwamba hizo LC300 ni very expensive kuliko baadhi ya decent german cars.

Na bado hao matajiri hawazinunui. Kwanini?
 
Kazi zipi hizo gari zinafanya kazi sawa bhana hakuna mnyonge hapo...
 
EU na North America kwa matajiri wa kufa mtu hawauzi hiyo LC300 ambayo mnaona ni reliable.

Pia mnasahau kwamba hizo LC300 ni very expensive kuliko baadhi ya decent german cars.

Na bado hao matajiri hawazinunui. Kwanini?
Wana lexus. Land cruiser ilishindwa kucompete na Germany na US Made luxury SUVs, mauzo yakaya finyu wameacha kuuza hili toleo jipya.
 
Sasa Honda si ni best in reliability, hyo na lexus
Hao wanaongwa na fact kuringana na mashirika ya bima zenye warranty
 
It all depends with the number of complains
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…