RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #161
Sio maneno, its a fact, kuna ule msemo wa top gear kuwa, if you want yo go ofload with luxiury pick the Range Rover, if you want yo come back pick the land cruiser, its an old say with meaning
Ingia youtube search sehem yoyote kuhusu least unreliable cars
Ata hii link ni waingereza ila bado wanaponda magari yao
Dada yangu ana RR sport 2012 ililipuka engine akiwa mwendo wa kawaida tu, na matatizo mengine kibao anapata, japo analipenda
Rafiki yangu ana VX LC200 gearbox imekufa mara mbili bila kujua sababu, does it mean hizi lc200 ni mbovu? Hayo maneno youtube ni kama yako tu, ingekuwa hayo maneno ni fact kwa kila gari hamna mtu angenunua hizo gari. Mtu na akili zake atoe $165,000 kununua gari bovu,seriosly?!!!