Range Rover amchokoza BMW X4!

Range Rover amchokoza BMW X4!

Nilinuwa nasoma reviews jana. Naangalia reviews zaidi. Range Rover wanapata press mbaya sana ever since walivyonunuliwa na TATA.

To be fair there was a genuine need to fill the gap between the funny looking Evoque and the somewhat overpriced and overkill Sport.
 
Nikaangalia picha naona Range Rover Evoque.

TATA Motors ni kampuni ya India, BMW ni kampuni ya Ujerumani na imenunuliwa na Mercedes Benz. Pia, kwenye X series za BMW sina uhakika kama kuna X4. Nafahamu X1, X3, X5 na X6.

Nimeshindwa kupata connection.
X4 wametoa karibuni. Ni kama X6 lakini ndogo zaidi.
 
Tunataka vyeti bashite
Acha kutumia madawa ya kulevya
Kampuni ya TATA Motors imeamua kumbeep BMW X4 kwa kuja na kitu kipya kabisa, Inaitwa Range Rover Velar, ambao ipo katikati ya Range Rover Evoque na Discovery, ameamua kujipima nguvu na
BMW X4 na Porsche Macan ambao wako kwenye game tayari kwa muda mrefu sasa!!

Range Rover Velar!
range-rover-velar-6.jpg

range-rover-velar-8.jpg

Range Rover velar kwa ndani!

range-rover-velar-7.jpg

0e9201212d046dff1f76044cc42015b7__range_rover_velar_10_jpg.jpg

Porsche Macan na BMW X 4!
porsche-macan-turbo-performance-paket.jpg

BMW-X4-7-.jpg

BMW-X4-10-.jpg
 
Una maana gani kusema Range Rover inatengenezwa na Land Rover England and Tata India anatengeneza Land Rover?

Tata motors alinunua Land Rover na Jaguar Cars ambazo zote zipo Coventry England.
Hapa mmiliki ni mhindi lakini product ni pure kutoka England... Ndio maana hata CO wa Jaguar Land Rover sio mhindi.

Sasa Uhindi unaingiaje hapa? Unakuwa na dharau kuliko hata Wazungu wenyewe ambao wamekubali Kampuni yao kununuliwa na Wahindi? Mbona sisi Waafrika hatukuinunua? Hivi unajua kwamba Management nzima ya Jaguar ni Wajerumani na waliletwa kwa makusudi kabisa ili waisuke Jaguar upya? Na ndiyo maana toleo zote za Jaguar zinazofanya vizuri sasa hvi zinafanana na gari za Kijerumani? Jaguar Series zote wameorient BMW na Audi!
 
Mkuu... Acha kukurupuka.

Kuna sehemu nimemdharau mhindi hapo?... Unajua kwa nini nimesema hivyo au umekurupukia tu kusoma hiyo comment moja na kunijibu...

Mimi nilikua namuelewesha huyo jamaa aliyedai Range Rover pekee ndio imebaki kwa Land Rover England huku Suvs nyingine(Discovery na Defender) ndio zimeuzwa kwa Tata Motors.

Najua CO wa Jaguar Land Rover alishafanya kazi Ford na BMW... Na Tata tangu anunue Jaguar Cars na Land Rover 2008 mauzo ndio yamekuwa juu zaidi.

Dunia bado inatambua Jaguar Cars and Land Rover are British car manufacturers owned by Tata Motors.

Mhindi ana thamani kubwa hapo... Na sijamdharau kama wewe ulivyodai.
 
Muhindi anaingiaje hapa? Na wapi kwenye Mada yangu nilipoongelea mambo ya sijui British car manufacturer? Kwa maana unaongea mambo mengi nafikiri labda unaupoungufu mkubwa wa uelewa wa haya mambo, ngoja nikuulize ingawaje natoka nje ya Mada, Je iphones ni Taiwanese au US products?
 
Mhindi anaingiaje?... Tata ni mchina?...

Naona hatueleweshani ila unaona nimewadharau wahindi wenzako...

Iphone inakujaje hapa tena?... Kumbe ni mtoto hivi?.
 
Nimekupa mfano tu, hapa Mada haikuhusu nani anatengeneza hizo gari, bali Mada ilikuwa ni kutambulisha Gari mpya ya Range rover Velar kutoka Kampuni ya TATA Motors chini ya TATA Group, hivyo mambo ya Muhindi hawezi kuwa CEO sijui nini nashangaa yameingiaje?
 
Nimesema wapi mhindi hawezi kuwa CO?... Atashindwaje na yeye ndie mmiliki.

Ndio maana nilikwambia umekurupuka kunijibu wakati haujui nani alianzisha hii mada... Ndie nilikua namjibu kwa post kadhaa.

Soma post za nyuma ujue mada ilianzia wapi usikurupuke kujibu post za mbele.

Range Rover Velar imezinduliwa na Land Rover.

Mhindi wewe unajishtukia sana... Unadhani tunawaona viazi?
 
Una matatizo ndugu, hivi kwa akili yako unafikili Mzungu Muingereza anaweza kukuthamini wewe Muafrika kuliko anavyomthamini Muhindi?
 
huo mfano wako ni sawasawa na kusema CCM yaamua kukichokoza chama cha PPT MAENDELEO kujipima ubora nao!!!
 
Hili Range Rover Velar linachukua nafasi ya Defender kwenye soko na model yake ya 4X4.

Hili gari latumia pia mfuno wa gia nane za automatic.

Ukiwa waendesha hili gari khasa unapotumia matairi yote manne , una uwezo wa kuona picha kwenye kioo za jinsi gari invyoshughulika kuhakikisha linakufikisha unakokwenda.

Ila bado halijalifikia "legend" mwenyewe, LandRover Discovery ambae bado anatawala soko.
 
Una matatizo ndugu, hivi kwa akili yako unafikili Mzungu Muingereza anaweza kukuthamini wewe Muafrika kuliko anavyomthamini Muhindi?
Na nyinyi mnathaminiwa kumbe?..

Ndio nasikia leo.
 
Na nyinyi mnathaminiwa kumbe?..

Ndio nasikia leo.

Ninyi akina nani hao? Mimi siyo Muhindi, ila nafahamu kwamba Mzungu anamthamini Muhindi kuliko sisi Waafrika wesui kwanza kuliko Binadamu yoyote yule, hata Mwarabu pmj na matatizo yake yote na Dunia yake lkn bado kwa Mzungu ni bora kuliko sisi Waafrika weusi!
 
Back
Top Bottom