Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Kwani huna Insurance?
Hata kama una insurance, mambo mengine ni ya kuweka tahadhari yasikukute

Mzozo wa kumvunjia side mirror mtu wa range rover , uko na passo , hadi mfikie muafaka wa kuonyeahana cover notes sio kipole pole , , Unaeza hata ukala shaba .
 
Labda kama huyo mtu ni mshamba na haelewi nini maana ya Insurance
 
Wamekupiga
 
Unamaanisha kwamba fuel pump, radiator or replacement of any part, insurer atawajibika?

NB: hiyo replacement haijatokana na ajali

Kama tu tu hizo damage zimetokana na ajali au any natural calamity.

Siyo tu gari yako imeua spea yoyote katika matumizi ya kila siku utegemee Insurer akulipe. Hiyo haipo.

So far wanaopata ajali na wana Comprehensive Insurance, Insurer huwa anaestimate kama gari inaweza kurekebishika au lah.

Kama inarekebishika wanakurekebishia, kama gharama ya kurekebisha ni kubwa wanakulipa tu hela kulingana na thamani ya gari lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…