Range Rover liheshimiwe

Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range πŸ€—πŸ€—πŸ€— my dream car
Hahaha mi nilijua chuma tayari unacho kumbe it's still being a dream car🀣🀷
 
Wee jilo mbona uchafu wa manzese kwa range iv ushapanda range?
Mkuu Escalade unaijua vizuri lakini? Achana na huyo mnyama wa kimarekani kabisa, hiyo range yako tupa kule
 
Attachments

  • images.jpeg
    31.9 KB · Views: 21
  • images (1).jpeg
    40.9 KB · Views: 24
Wee jilo mbona uchafu wa manzese kwa range iv ushapanda range?
Usirudie tena kuiita Cadillac Escalade uchafu wa manzese, kwa wanaojua magari watakudharau saana, ushawahi kumuona mjinga yeyote anapush hii ndinga bongo? Zipo chache sana kama sio mbili ni tatu nilizowahi kuziona juu ya Ardhi yetu ya wadanganyika.
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    30.1 KB · Views: 23
Usirudie tena kuiita Cadillac Escalade uchafu wa manzese, kwa wanaojua magari watakudharau saana, ushawahi kumuona mjinga yeyote anapush hii ndinga bongo? Zipo chache sana kama sio mbili ni tatu nilizowahi kuziona juu ya Ardhi yetu ya wadanganyika.
Sasa magari yenyewe bongo ni machache,tutapata wapi muda wa kuyapenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usirudie tena kuiita Cadillac Escalade uchafu wa manzese, kwa wanaojua magari watakudharau saana, ushawahi kumuona mjinga yeyote anapush hii ndinga bongo? Zipo chache sana kama sio mbili ni tatu nilizowahi kuziona juu ya Ardhi yetu ya wadanganyika.
kaka wanaojua magari watakucheka ww[emoji28] hiyo ni kama subaru marekani na hata ukiangalia cost zake za TRA bongo ni kama mil 180 kwaiy ni gari ya kawaida sana...
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Kuna muhuni anamiliki hilo dubwana la 2019 tena ni long wheel base, Nimepanda last month ndio alikuwa ametoka kuliwekea plate namba.

Aiseeee.... tuuchukie umasikini kwa nguvu zote.
 
LC200 na 300 siyo gharama kuimiliki na inahimili barabara zetu?

Punguza mambo ya kusimuliwa vujiweni mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…