Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Sio Rozi Rozi, ni LOZILOZIKwaiyo hata ROZI ROZI hujaiona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Rozi Rozi, ni LOZILOZIKwaiyo hata ROZI ROZI hujaiona?
Jamani si kapenda mwenyewe? Mwacheni achagulishweUsije ukawaza tena kutokea mtu wa kukwambia uchague ni hatari kwa afya yako.
Waza kama ukifanikiwa kupata utajiri uje ujinunulie.
Hahaha mi nilijua chuma tayari unacho kumbe it's still being a dream car🤣🤷Guys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Nimekumiss Jemima 😍Jamani si kapenda mwenyewe? Mwacheni achagulishwe
Kwa wajinga na maskini kama weweGuys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Mkuu Escalade unaijua vizuri lakini? Achana na huyo mnyama wa kimarekani kabisa, hiyo range yako tupa kuleWee jilo mbona uchafu wa manzese kwa range iv ushapanda range?
Usirudie tena kuiita Cadillac Escalade uchafu wa manzese, kwa wanaojua magari watakudharau saana, ushawahi kumuona mjinga yeyote anapush hii ndinga bongo? Zipo chache sana kama sio mbili ni tatu nilizowahi kuziona juu ya Ardhi yetu ya wadanganyika.Wee jilo mbona uchafu wa manzese kwa range iv ushapanda range?
Hapana bhana 😂😂😂😂😂, acha kujifariji mkuu.Gari ni gari cha msingi ikufikishe unapotaka kwenda
Sasa magari yenyewe bongo ni machache,tutapata wapi muda wa kuyapendaUsirudie tena kuiita Cadillac Escalade uchafu wa manzese, kwa wanaojua magari watakudharau saana, ushawahi kumuona mjinga yeyote anapush hii ndinga bongo? Zipo chache sana kama sio mbili ni tatu nilizowahi kuziona juu ya Ardhi yetu ya wadanganyika.
Unaishi zama zipi ndugu yangu? Wenzako tuko kwenye zama za dunia ii kiganjani mwako...Sasa magari yenyewe bongo ni machache,tutapata wapi muda wa kuyapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 acha uongo gar
Yaani hii gari luxury sana. Una-pack popote na trafic akikuona tayari anajua huna hela hivyo unapita kiroho safi😂😂😂 acha uongo gar hadi tair ya bajaji inawekwa
Wazee wa SAE 40 tunamchek tu[emoji28][emoji28]Subiri povu la watoyota.
kaka wanaojua magari watakucheka ww[emoji28] hiyo ni kama subaru marekani na hata ukiangalia cost zake za TRA bongo ni kama mil 180 kwaiy ni gari ya kawaida sana...Usirudie tena kuiita Cadillac Escalade uchafu wa manzese, kwa wanaojua magari watakudharau saana, ushawahi kumuona mjinga yeyote anapush hii ndinga bongo? Zipo chache sana kama sio mbili ni tatu nilizowahi kuziona juu ya Ardhi yetu ya wadanganyika.
Kuna muhuni anamiliki hilo dubwana la 2019 tena ni long wheel base, Nimepanda last month ndio alikuwa ametoka kuliwekea plate namba.Guys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
LC200 na 300 siyo gharama kuimiliki na inahimili barabara zetu?Kuna mtifuano umezuka twitter kule.
Kuna mtu analeta ushabiki anapewa fact lakini helewi,kuna range halafu kuna gari linaitwa LC, hapo tunataja V8 zote mpaka hiyo mpya ya V6 2022.kwanza linauzika,pili sio gharama kulimiliki,na linahimiri mazingira yetu ya juakali na barabara za ahadi za uchaguzi.
Hiyo gari kwa namna ilivyopokelewa mtaani ni ishara njema sana kwamba toyota wameupiga mwingi kuanzia serikalini mpaka kwa mabro wenye kiburi hapa nchini.hilo range watu wana uwezo wa kuyanunua lakini wanayapotezea.