Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Wewe ndio walewale. Gari ikiwa ya 2018 unajua huwa zinatoka kiwandani na kuingia sokoni mwezi gani na mwaka gani!? Naomba jibu....nenda kafanye research urudi na jibu sahihi hapa. Otherwise kaa kimya kuficha aibu ya ukoo wenu.
2018.
 
sizitaki mbichi. Kwenda Ulaya , Marekani ni Utumwani, sisi ni wazalenda tunakaa kwetu kmanzichana.
Kuna watu tulienda huko kusoma miaka ya nyuma sana na tulipomaliza elimu yetu na mengineyo tukarudi nyumbani kuliendeleza kusukuma gurudumu la Maendeleo. Sijui umemaanisha nini "sizitaki mbichi hizi"!?
 
Kuna watu tulienda huko kusoma miaka ya nyuma sana na tulipomaliza elimu yetu na mengineyo tukarudi nyumbani kuliendeleza kusukuma gurudumu la Maendeleo. Sijui umemaanisha nini "sizitaki mbichi hizi"!?
Ulirudi au muda wa kukaa huko ulikwisha. mimi nilikwenda , nilitaka kukaa wakasema urudi kwenu muda wa masomo umeisha. Kuna permanent students anyway!
 
We jamaa boya sana wewe....kwa hiyo uzalendo kwako ni kulitetea lile jiziii la chato zee la frustrations....alafu ulivyo jinga kwa kuwa wewe una experience ya kuuza tigo bhac unamshauri kila mtu auze tigo unataja kabisa na bei ambazo wanaokufumuaga hayo marinda wanakulipa
 
Ulirudi au muda wa kukaa huko ulikwisha. mimi nilikwenda , nilitaka kukaa wakasema urudi kwenu muda wa masomo umeisha. Kuna permanent students anyway!
Nilirudi nyumbani kwa sababu nilipoondoka huku sikuiba deki wala kufukuzwa. Nilienda kusoma na kuongeza maarifa ili yaje kunisaidia maishani. Na yamenisaidia maishani mpaka sasa. So huko huwa naenda mara kwa mara kikazi au kimatembezi tu. Kipindi hicho tunaenda huko kulikuwa hakuna sekeseke la kurudishwa bongo, tena cha ajabu wakati huo mashirika na makampuni walikuwa wanapita vyuoni ku recruit wanafunzi kwa nafasi za ajira punde wanapomaliza masomo...na kukupatia nyaraka za kuishi ndani ya nchi yao kihalali.
Kuna wenzangu (watz) wachache niliosoma nao walibaki huko na kuchukua uraia kabisa.
 
nadhani kazi unayoifanya kuna hundreds ambao wanaweza kuifanya wako mitaani, hivyo ungelijikalia tu. Si kweli kuwa ulikuja kusaidia nchi yako. Ungelikuwa Daktari Bingwa wa Nerves / ubongo surgery etc (mfano) nitakuelewa maana hapa ni kama hakuna.
Siku njema nakwenda kanisani misa ya jioni. Mimi ni mzee wa kanisa.
 
Mmmh mngeongelea hata pikipiki au baiskeri hapo tungekuwa wote.
 
hi bado ghali nimeona Ni pauni za Bibi 268,000. Ila haijatofautiana Sana Na renji 2017 ambayo Hadi 86,000 pauni za Bibi.

Nadhani kwa madafu iyo Hadi Kodi lazima ifike karibu billion.
Hapo nikipiga hesaba zangu..
268,000×3000=804,000,000/=hiyo ni Tsh ukiplus VAT
804,000,000÷100×18=Jibu utakalopata hapa ndio gharama ya hilo gari kwa pesa ya Ktz.
 
Wewe unajua mimi nafanya kazi kwenye fani gani? Au unanijua? Acha upuuzi uchwara mkuu. Eti Mzee wa kanisa! Ptuuuuuuuu...
 




Mkuu Copenhagen

Kuna hili la Velar toleo jipya la 2018 ambalo vitasa vya milango yake vinafunguka kama wataka kuweka CD ndani.

Ila hili la Velar limetengenezwa kistadi pia kwani ukizima injini yake basi huwei kulisukuma kwa kuondoa "handbrake".

Lipo katikati ya Evoque na Sport kwa muundo wake.

Nadhani limewalenga wezi wa magari wakijaribu kuipa wasiweze kuliondoa.

Lakini ukiangalia bei zake zinatofautiana sana wakati Vogue inaanzia pauni 79000, hili la Velar linaanzia pauni 44000.

Hivyo kwa wapenzi wa Land Rover hasa hizi za sport wataweza kuangalia tofauti hiyo ya bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…