Nilirudi nyumbani kwa sababu nilipoondoka huku sikuiba deki wala kufukuzwa. Nilienda kusoma na kuongeza maarifa ili yaje kunisaidia maishani. Na yamenisaidia maishani mpaka sasa. So huko huwa naenda mara kwa mara kikazi au kimatembezi tu. Kipindi hicho tunaenda huko kulikuwa hakuna sekeseke la kurudishwa bongo, tena cha ajabu wakati huo mashirika na makampuni walikuwa wanapita vyuoni ku recruit wanafunzi kwa nafasi za ajira punde wanapomaliza masomo...na kukupatia nyaraka za kuishi ndani ya nchi yao kihalali.
Kuna wenzangu (watz) wachache niliosoma nao walibaki huko na kuchukua uraia kabisa.