Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Ngoja niongee na Antony Haji anipe kwa bei ya nyumbani!
 
2018-Range-Rover-Velar-rear-three-quarter-03.jpg

2018-Land-Rover-Range-Rover-Velar-front-three-quarter-1.jpg

Mkuu Copenhagen

Kuna hili la Velar toleo jipya la 2018 ambalo vitasa vya milango yake vinafunguka kama wataka kuweka CD ndani.

Ila hili la Velar limetengenezwa kistadi pia kwani ukizima injini yake basi huwei kulisukuma kwa kuondoa "handbrake".

Lipo katikati ya Evoque na Sport kwa muundo wake.

Nadhani limewalenga wezi wa magari wakijaribu kuipa wasiweze kuliondoa.
ila velar imekaaga kidemu demu sana aisee,i prefer vogue.
 
Wewe unajua mimi nafanya kazi kwenye fani gani? Au unanijua? Acha upuuzi uchwara mkuu. Eti Mzee wa kanisa! Ptuuuuuuuu...
matusi ya nini? Ndilo tatizo la mtu mwongo, hata language yako yaonyesha kazi unayoifanya.
 
ila velar imekaaga kidemu demu sana aisee,i prefer vogue.

Inawezekana upo sahihi nafikiri limelenga soko la celebrities wa kike.

Mpaka sasa inasemwa kuna interest zaidi ya 40,000 na 12000 kati ya hao ni wa kutoka Uingereza.

Gari hili limetengezwa kwenye kiwanda cha Jaguar Land Rover kilichopo sehemu iitwayo Solihull mjini Birmingham huko nchini Uingereza.
 
Mimi namiliki hiyo gari tena ni ya CMC kiongozi. Ndio maana naongea kwa kujiamini katika hili. Wewe utakuwa ndio haujui magari umekalia kukaa vijiweni na ikipita gari nzuri mnashindana wa maj.uha wenzako kuiwahi.

Unaposema tofauti ni katika taa na rims, Je unatambua kama unaweza ku customise design your Range based on the price!? Au unatapika pumba tu hapa. Kuna standard versions na Upgrades on Luxury versions. Ndio maana kuna Rovers zinaitwa Signature series.
Ukiongelea kitu jaribu kuwa na uelewa nacho. Sio unakurupuka tu.

I am from a Range Rover family. Tokea miaka na miaka. Na Mzee alikuwa ni mmoja wa vigogo wa kwenye Bodi ya D.T Dobie & Co (T) L.T.D.....sijui kama unafahamu hii ni nini kijana wewe!
Range rover family my ass, kuwa na mzee kigogo sio tija na kwa vile unaendesha gari yake huna haja ya kujisifia unamiliki.

Binafsi huna uwezo huo bado wa kumiliki range rover hata ile ya 2013 kwa IQ hio tu uliodhihirisha katika post yako ya awali acha kuji pompous kijana. Hio D.T dobie naijua wayback you must be silly to think sifahamu hilo.

Im just a die hard fan wa range rover tokea rover classic nazifatilia na edition zake nazijua pia nilishakuwaga na rover P38 miaka ya nyuma kidogo nikaiuza naijua taste ya range rover.
 
Inawezekana po sahihi nafikiri limelenga soko la celebrities wa kike.

Mpaka sasa inasemwa kuna interest zaidi ya 40,000 na 12000 kati ya hao ni wa kutoka Uingereza.

Gari hili limetengezwa kwenye kiwanda cha Jaguar Land Rover kilichopo sehemu iitwayo Solihull mjini Birmingham huko nchini Uingereza.
Thnxs mkuu,finally nimejiridhisha kile nilichokua nakifikiria khs hii gari.
 
Range rover family my ass, kuwa na mzee kigogo sio tija na kwa vile unaendesha gari yake huna haja ya kujisifia unamiliki.
Binafsi huna uwezo huo bado wa kumiliki range rover hata ile ya 2013 kwa IQ hio tu uliodhihirisha katika post yako ya awali acha kuji pompous kijana.
Im just a die hard fan wa range rover tokea rover classic nazifatilia na edition zake nazijua pia nilishakuwaga na rover P38 miaka ya nyuma kidogo nikaiuza. So usichukulie poa.
Kunywa maji utulize povu. Hongera kwa kuwahi kumiliki P38 au kama tulivyopenda kuziita "kichomi".
Sawa ninaendesha gari ya baba yangu, nashukuru sio ya baba yako.
Ingekuwa wenye IQ kubwa ndio wanaoendesha magari mazuri basi Tanil asingeendesha ile Ferarri F150 au Tundu Lissu (kwa mujibu wenu) angekuwa anaendesha Bugatti Veyron.
 
Tuliza kipele basi maana hujui thamani ya gari unajua kuendesha tu. Acha wenge
 
hi bado ghali nimeona Ni pauni za Bibi 268,000. Ila haijatofautiana Sana Na renji 2017 ambayo Hadi 86,000 pauni za Bibi.

Nadhani kwa madafu iyo Hadi Kodi lazima ifike karibu billion.
Aaaaaa Pesa ndongo watoto wa Baba wakiongozwa na Rais wa jiji sasahivi wataziagiza
 
Mimi namiliki hiyo gari tena ni ya CMC kiongozi. Ndio maana naongea kwa kujiamini katika hili. Wewe utakuwa ndio haujui magari umekalia kukaa vijiweni na ikipita gari nzuri mnashindana wa maj.uha wenzako kuiwahi.

Unaposema tofauti ni katika taa na rims, Je unatambua kama unaweza ku customise design your Range based on the price!? Au unatapika pumba tu hapa. Kuna standard versions na Upgrades on Luxury versions. Ndio maana kuna Rovers zinaitwa Signature series.
Ukiongelea kitu jaribu kuwa na uelewa nacho. Sio unakurupuka tu.

I am from a Range Rover family. Tokea miaka na miaka. Na Mzee alikuwa ni mmoja wa vigogo wa kwenye Bodi ya D.T Dobie & Co (T) L.T.D.....sijui kama unafahamu hii ni nini kijana wewe!
Ila wanako ilekea wataondoa mpaka hizo sterringi. Gari bila kupachika gia sita injoy huo mwaka wa kumiliki mabeki 3 watahisika kuziendesha
 
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Ila mkuu kama povu hili..
 
Back
Top Bottom