Takwimu zipi zaidi ya kuziwezesha klabu zao na timu zao za taifa kuchukua makombe makubwa?Mzazi unafuatilia mpira kweli?
Kwahiyo Mane ana takwimu za kumpiku Messi au Ronaldo?
Kuna mwafrika alishachukua hii tuzo. So ikitokea una performance nzuri kwa kipindi hicho hua haina kupingwa.
Kwa hyo unataka kuniambia messi kapewa ballon or dor sababu kaiwezesha barcelona kuchukua la liga?
Vipi kuhusu mane ambaye amechukua champion league na kuiwezesha timu yake ya taifa kufika fainal mataifa?