Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

Hakuna utata wowote nyie vijana mnateseka sana

weka statistics za Mane vs Messix vs Cr7 tuone nani amestahili
Stastics za mwaka husika tu, mane kachukua uefa , messi hajachukua , wote hawajachukua wc , nani zaidi ? Kumbuka hayo mashindano yaliwashirikisha wote pamoja
 
Mzazi unafuatilia mpira kweli?

Kwahiyo Mane ana takwimu za kumpiku Messi au Ronaldo?

Kuna mwafrika alishachukua hii tuzo. So ikitokea una performance nzuri kwa kipindi hicho hua haina kupingwa.
Mane na mbappe deserved it
 
Mane anajua mpira na ninamuelewa sana mimi binafsi lakini naona anakuzwa sana.
Alichokipata ndo anachostahili mbona hata tim yake ya liverpool haijamrate kama namba moja?
Huyu Mane anayetajwa kiwa angashinda Ballondior anapigwa na Mahrez kwa record,
Mahrez kampiga kwenye Afcon, kampiga kwenye ligi na kwenye mechi walizokutana kati ya liverpool na Man city. Yaan first leg droo na 2:1 ya second leg ambayo city alishinda.
Bado amekuwa rated namba 10.
Don't stress yourself my fellow Africans
 
Stastics za mwaka husika tu, mane kachukua uefa , messi hajachukua , wote hawajachukua wc , nani zaidi ? Kumbuka hayo mashindano yaliwashirikisha wote pamoja
Amechukua Uefa? kwani Origi, Henderson, Milner, Keita, n.k hawajachukua UEFA? kwahiyo Origi na Firmino wanamzidi uwezo Messix kisa wamechukua kombe?

Uefa imechukuliwa na team nzima ya Liverpool.

kombe la dunia 2018 modric alikuwa mchezaji bora na hakuchukua kombe, unajua ni kwanini?
 
Idadi ya wajinga wa Africa inaongezeka kupitia watu kama nyie! Yaani wewe unabishana na Messi ambaye kwa kinywa chake mwenyewe amekiri kwamba Sadio Mane ndiyo angepaswa kuwa mchezaji bora?
Binafsi namkubali sana Mane, recently he's my favorite player. Nakubaliana na mleta uzi kuwa rangi yake ndiyo sababu kubwa ya kuikosa hiyo tuzo ya mchezaji bora!

We mjjinga Mane hawezi kuwa zaidi ya mesi!! Umeelewa?
 
Hawa jamaa bwana,akili zao zimechacha
Amechukua Uefa? kwani Origi, Henderson, Milner, Keita, n.k hawajachukua UEFA? kwahiyo Origi na Firmino wanamzidi uwezo Messix kisa wamechukua kombe?

Uefa imechukuliwa na team nzima ya Liverpool.

kombe la dunia 2018 modric alikuwa mchezaji bora na hakuchukua kombe, unajua ni kwanini?
 
View attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya kutoka mazoezini
kiwango cha mane kama Lamine Moro
 
Idadi ya wajinga wa Africa inaongezeka kupitia watu kama nyie! Yaani wewe unabishana na Messi ambaye kwa kinywa chake mwenyewe amekiri kwamba Sadio Mane ndiyo angepaswa kuwa mchezaji bora?
Binafsi namkubali sana Mane, recently he's my favorite player. Nakubaliana na mleta uzi kuwa rangi yake ndiyo sababu kubwa ya kuikosa hiyo tuzo ya mchezaji bora!

Vimelea vya ubaguzi vimekuandama kijana, na kama utaendelea na tabia hiyo utapata tabu sana kwenye life yako...! My advice acha ubaguzi!

Turudi kwenye topic..unasema Messi hakustahili ila mane kastahili tuzo hiyo sio? Hivi wewe unajuwa mpira kuliko waliompigia? Ndio maana wazungu wanatuona wajinga kupitiliza maana unaongea vitu sivyo kabisa hata aibu huoni kijana!! ...Mane na Messi wapi na wapi ni kama mbingu na ardhi!

Mi nadhani hujui nini maana ya individual performances ndio maana unaongea usichokijua ama racism utajuwa mwenyewe...

So, kama mafanikio ya timu basi Benaldo silver timu ya taifa + premier ligi...Becker tim ya taifa + uefa...Riad Mahrez premier ligi + Afcon..wangefuata vigezo hivyo basi watatu hawa ndio wangestahili kijana...lakini kwa utendaji wa mtu binafsi basi Messi ndie aliestahili na ndicho kilichompatia tuzo hiyo...na mwakani anabeba ya 7 bila shida maana yeye ni kipaji cha kuzaliwa na sio kutegemea teamates kama hao wengine...so endeleeni kuteseka tu mafans wa Ronaldo..
 
Back
Top Bottom