Takwimu zipi zaidi ya kuziwezesha klabu zao na timu zao za taifa kuchukua makombe makubwa?Mzazi unafuatilia mpira kweli?
Kwahiyo Mane ana takwimu za kumpiku Messi au Ronaldo?
Kuna mwafrika alishachukua hii tuzo. So ikitokea una performance nzuri kwa kipindi hicho hua haina kupingwa.
Mzee kunawatu hawawezi kukubali ukweli, wao wameweka mahaba tu mbele nasio wafuatiliaji wa vitu kabisa 😂😂😂 huwezi lazimisha punda kunywa maji unatopteza muda tu achana nao.Takwimu zipi zaidi ya kuziwezesha klabu zao na timu zao za taifa kuchukua makombe makubwa?
Kwa hyo unataka kuniambia messi kapewa ballon or dor sababu kaiwezesha barcelona kuchukua la liga?
Vipi kuhusu mane ambaye amechukua champion league na kuiwezesha timu yake ya taifa kufika fainal mataifa?
Hahaha dah wewe sasa unataka ubishi. Ni mara ngapi umesikia mchezaji kachukua tuzo ya Ulaya halafu hajachukua Ballon d'or?Takwimu zipi zaidi ya kuziwezesha klabu zao na timu zao za taifa kuchukua makombe makubwa?
Kwa hyo unataka kuniambia messi kapewa ballon or dor sababu kaiwezesha barcelona kuchukua la liga?
Vipi kuhusu mane ambaye amechukua champion league na kuiwezesha timu yake ya taifa kufika fainal mataifa?
kaiwezesha? kwahiyo kacheza peke yake? wachezaji wote wa Liverpool wameiwezesha team kuchukua hilo kombeMane kaiwezesha klabu yake ya Liverpool kuchukua klabu bingwa ulaya na kuifikisha timu yake ya taifa fainali ya mataifa ya afrika.
Vipi niongeze na nyingine.
Huyo Mane hajafikia record hata alizoweka Harry Kane...Me nasemaga Mane angekuwa ngozi nyeupe asingekauka midomoni mwa watu.
Vuta picha Mane ndio angekuwa mwingereza.
Hii rangi isitumike kama kigezo cha kuona tunaonewa
Hizo takwimu za harry Kane za mwaka gani? Ebu ziweke hapa kiongozi... Mane na Kane... Ujinga mzigo...Huyo Mane hajafikia record hata alizoweka Harry Kane...
Kama unabisha weka hapa tuone...
Kipindi kile messi na ronaldo wanapewa ballon or dor kisa wamechukua klabu bingwa walikuwa na ivo vigezo unavyovisema hpa?kaiwezesha? kwahiyo kacheza peke yake? wachezaji wote wa Liverpool wameiwezesha team kuchukua hilo kombe
ila tukija individual performance hakuna aliyemfikia Messi msimu uliopita
Kwa hyo unataka kuniambia messi alikuwa anachukua Mpira kwa kipa anaenda kufunga pekee yake si ndyo?kaiwezesha? kwahiyo kacheza peke yake? wachezaji wote wa Liverpool wameiwezesha team kuchukua hilo kombe
ila tukija individual performance hakuna aliyemfikia Messi msimu uliopita
hapana hakuchukua mpira kwa kipaKwa hyo unataka kuniambia messi alikuwa anachukua Mpira kwa kipa anaenda kufunga pekee yake si ndyo?
Kuchukua kombe sio kigezo cha individual perfomance ila ni team performanceKwa hyo unataka kuniambia messi alikuwa anachukua Mpira kwa kipa anaenda kufunga pekee yake si ndyo?
Kuchukua ubingwa ilikuwa added advantage kwenye individual statistics zaoKipindi kile messi na ronaldo wanapewa ballon or dor kisa wamechukua klabu bingwa walikuwa na ivo vigezo unavyovisema hpa?
Muachege kutetea vitu vya kijinga!
Idadi ya wajinga wa Africa inaongezeka kupitia watu kama nyie! Yaani wewe unabishana na Messi ambaye kwa kinywa chake mwenyewe amekiri kwamba Sadio Mane ndiyo angepaswa kuwa mchezaji bora?
Binafsi namkubali sana Mane, recently he's my favorite player. Nakubaliana na mleta uzi kuwa rangi yake ndiyo sababu kubwa ya kuikosa hiyo tuzo ya mchezaji bora!