The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Stastics za mwaka husika tu, mane kachukua uefa , messi hajachukua , wote hawajachukua wc , nani zaidi ? Kumbuka hayo mashindano yaliwashirikisha wote pamojaHakuna utata wowote nyie vijana mnateseka sana
weka statistics za Mane vs Messix vs Cr7 tuone nani amestahili
Mbona cannavaro alibeba kwa record zipi ?Mane kwa rekodi zipi abebe Ballon D'or?
Mane na mbappe deserved itMzazi unafuatilia mpira kweli?
Kwahiyo Mane ana takwimu za kumpiku Messi au Ronaldo?
Kuna mwafrika alishachukua hii tuzo. So ikitokea una performance nzuri kwa kipindi hicho hua haina kupingwa.
Mane , mbappe na vvdHivi kati ya Virgil van dijik na Mane, yupi alistahili kuwq kwenye 3 bora ya ballon d'or
Amechukua Uefa? kwani Origi, Henderson, Milner, Keita, n.k hawajachukua UEFA? kwahiyo Origi na Firmino wanamzidi uwezo Messix kisa wamechukua kombe?Stastics za mwaka husika tu, mane kachukua uefa , messi hajachukua , wote hawajachukua wc , nani zaidi ? Kumbuka hayo mashindano yaliwashirikisha wote pamoja
Idadi ya wajinga wa Africa inaongezeka kupitia watu kama nyie! Yaani wewe unabishana na Messi ambaye kwa kinywa chake mwenyewe amekiri kwamba Sadio Mane ndiyo angepaswa kuwa mchezaji bora?
Binafsi namkubali sana Mane, recently he's my favorite player. Nakubaliana na mleta uzi kuwa rangi yake ndiyo sababu kubwa ya kuikosa hiyo tuzo ya mchezaji bora!
ImagineHii rangi isitumike kama kigezo cha kuona tunaonewa
Amechukua Uefa? kwani Origi, Henderson, Milner, Keita, n.k hawajachukua UEFA? kwahiyo Origi na Firmino wanamzidi uwezo Messix kisa wamechukua kombe?
Uefa imechukuliwa na team nzima ya Liverpool.
kombe la dunia 2018 modric alikuwa mchezaji bora na hakuchukua kombe, unajua ni kwanini?
kiwango cha mane kama Lamine MoroView attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya kutoka mazoezini
Idadi ya wajinga wa Africa inaongezeka kupitia watu kama nyie! Yaani wewe unabishana na Messi ambaye kwa kinywa chake mwenyewe amekiri kwamba Sadio Mane ndiyo angepaswa kuwa mchezaji bora?
Binafsi namkubali sana Mane, recently he's my favorite player. Nakubaliana na mleta uzi kuwa rangi yake ndiyo sababu kubwa ya kuikosa hiyo tuzo ya mchezaji bora!