Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya diddy anaefata ni 5050 Cents atakua anachekelea naona.
Kumekuchaa
Kwan ana beef gan na p Diddy,maan anamchomekea knoma50 Cents atakua anachekelea naona.
[emoji28]Wewe upo mbele maana walio nyuma wote wanamjua
Hapana ni mnyakyusa mwingine mchagaNaomba kuuliza mbona P diddy na puff daddy wanafanana sana? Ni ndugu au mapacha?
Kapost anacheka.50 Cents atakua anachekelea naona.
Mtu yule yule tu anabadili jina alianza puff dady akaja pdiddy now didyP Didy enzi zake alikuwa malaya sana bora Puff Daddy alikuwa mtulivu.
Tasnia ya mziki ina mambo mengi ndugu yangu hata hapa bongo kina nandy zuchu sijui maua wakiamua kuongea watu watakimbiana.haya mambo mbona hayamkuti denzel washington, au morgan freeman?
kuna ukweli kuusu wazungu kushughulikia blacks, ila weusi wengi maarufu ni watu wa hovyo honyo, inakuwa simple kushughulikiwa na mifumo
Ukifuatilia maisha ya black celebrities miaka ya 80 na 90 yalikuwa ya kimbwa mbwa. Sasa yanarudi kuwatafuna na kipindi hicho ama watu walikuwa hawajui haki zao au walikuwa wanaona aibu kusema. Shida US hata kosa la miaka 30 iliyopita hata 50 linaweza kukufunga uzeeni.haya mambo mbona hayamkuti denzel washington, au morgan freeman?
kuna ukweli kuusu wazungu kushughulikia blacks, ila weusi wengi maarufu ni watu wa hovyo honyo, inakuwa simple kushughulikiwa na mifumo
Kwa sasa shangazi vivica fox atakuwa yupo na wanasheria wake wanapanga mashtaka.Baada ya diddy anaefata ni 50
Hv johhny deep naye ni black?B'se He is Black
Fuatilia skendo za didyWale watu waovu huenda naye wanamshughulikia kama R. Kelly na Bill Cosb. USA wanapenda sana kushitakiana kwa kesi za ngono. Ukute jitu lilitongozwa likakubali lenyewe miaka imeenda limepigika ki maisha linataka lipatiwe mpunga liendeshe maisha yake. Wale watu waovu nao ukianza kuwakatalia kufanya kazi zao wanazotaka uwafanyie wanakukomoa kwa kesi za ajabuajabu
Its payback timeFuatilia skendo za didy