Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya
Duh! Hii sheria ikija tz wazee wengi wataishia jela kwa mambo hayo waliowafanyia wanawake huko nyuma ujanani. Unashangaa bibi fulani anafungua mashitaka kuwa ulimnyanyasa kingono alipoingia kwenye geto lako kutazama picha za magazeti uliyobandika getoni enzi akiwa msichana na ushahidi anao
Kutizama picha za kwenye gazeti la kasheshe.
 
Hawa wasanii wakati wakiwa vijana maisha yao yalikua ni madawa ya kulevya, bangi, ngono nk. Bahati yao kule hamna ngwengwe sana ungekuta wote walishakufa hawa... Umaarufu na pesa viliwachanganya wakadhani wanaweza kufanya chochote au wako juu ya sheria. Sasa ndio wanakiona cha mtema kuni.
 
mbona didy alikuwa si mtu wa matukio ya kihuni tangu zama zile za uhasama wa east coast na west coast japo inajulikana alikuwa upande gani mpaka walimtungia wimbo mtu wao wa kambi aliyokuwa
Ulikuwa wafuatilia tu upande wake mzuri. Kuna scandal kuwa pia alimfanyia mchezo mchafu usher wakati anaisho naye usher akiwa mdpgo
 
mbona didy alikuwa si mtu wa matukio ya kihuni tangu zama zile za uhasama wa east coast na west coast japo inajulikana alikuwa upande gani mpaka walimtungia wimbo mtu wao wa kambi aliyokuwa
hao wakina big na pac ni cha mtoto , puff ni zaidi ya uhuni , jamaa ni mafia godfather
 
Wale watu waovu huenda naye wanamshughulikia kama R. Kelly na Bill Cosb. USA wanapenda sana kushitakiana kwa kesi za ngono. Ukute jitu lilitongozwa likakubali lenyewe miaka imeenda limepigika ki maisha linataka lipatiwe mpunga liendeshe maisha yake. Wale watu waovu nao ukianza kuwakatalia kufanya kazi zao wanazotaka uwafanyie wanakukomoa kwa kesi za ajabuajabu
Waamerika weusi nao wana mambo ya kipumbavu. Huyu Didy anatajwa sana kuwalawiti Usher na Justin Bieber wakati wakiwa vijana wadogo. Kwa taarifa zilizopo mitandaoni ni kuwa ilibidi mama yake Usher amwondoe kijana wake karibu na Didy baada ya kupata gonjwa la ngono.
 
Back
Top Bottom