Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya
Muda mzuri wa kutafuta haki ni pale wanapoona tayari umepata dough

Wanawake wa kileo hao
Akicheza fyongo tu anaenda kukaa nyuma ya Nondo yaan hapo inaswakwa Pesa, Madonna kakubari kulipa nje ya Mahakama baada ya kupewa kesi ya ukwepaji kodi tax evasion, sasa Diddy km anajua ushahidi upo wamalizane nje ya Mahakama yaishe kinyume na hapo akikaza debe linamsubiria
 
Anaenda kupotezwa km R Kelly.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hapa tz kuna mwanamuziki mmoja ni mama mtu mzima alibadili mtindo wa maudhui ya nyimbo zake kutoka za kidunia kuwa za kidini akashindwa huko akamua arudi nyimbo za kidunia akidai ameshindwa huko. Alidai maprodyusa wanaomba penzi sana huko akaishia kuwashangaa wenzake wa kike wanawezaje kuvumilia hali hiyo? Miziki na filamu mwendo ni malavidavi tu, sema wahanga hawajaamua kusanua uhuni huo imebaki siri yao
 
Ndio wanapigwa sana paipu usione wanaimba Ila maumivu wanayajua wenyewe kikubwa wanapata fame basi Ila baadae wakichoka watachomoa Sasa hapo kwenye kuchomoa ndio kwenye ntinti wapi V Money
 
Back
Top Bottom