Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya
Wale watu waovu huenda naye wanamshughulikia kama R. Kelly na Bill Cosb. USA wanapenda sana kushitakiana kwa kesi za ngono. Ukute jitu lilitongozwa likakubali lenyewe miaka imeenda limepigika ki maisha linataka lipatiwe mpunga liendeshe maisha yake. Wale watu waovu nao ukianza kuwakatalia kufanya kazi zao wanazotaka uwafanyie wanakukomoa kwa kesi za ajabuajabu
Kaka hiki ulichokielezea hapa ndio ukweli wenyewe, hizi kesi za unyanyasaji wa ngono/ubakaji na hasa ambazo muhusika anaibuka kushtaki baada ya miaka kibao mara chache sana zinakuwaga Zina ukweli.

Mara nyingi Huwa ni njama za kummaliza muhusika kutoka kwa maadui zake wakimtumia ex-girlfriend ambaye Bado ana mabifu na muhusika au inaweza isiwe hivyo unakuta ni ex-girlfriend tu mwenyewe life limemchapa sana na Kuna vitu alitarajia kuvipata kipindi cha mahusiano ilq hakuvipata na miaka imeenda Bado Yuko vile vile kwa hiyo kuibua tuhuma kama hizi anaona ndio njia rahisi ya kumkamua muhusika maana anajua dhairi pale atakapo kushtaki tu basi utajishusha kwake na kumpa kile anachokitaka.

Hawa wanawake wa kileo wanazitumia sana hizi Sheria kandamizi kupambana na wanaume wenye chuki nao na njia kuu wanayoitumia ni hii ya kukubambakizia kesi... Na mbaya zaidi tunaishi kwenye dunia ambayo inawaamini sana wanawake, angalia hata hapa kwenye huu uzi
 
Duh! Hii sheria ikija tz wazee wengi wataishia jela kwa mambo hayo waliowafanyia wanawake huko nyuma ujanani. Unashangaa bibi fulani anafungua mashitaka kuwa ulimnyanyasa kingono alipoingia kwenye geto lako kutazama picha za magazeti uliyobandika getoni enzi akiwa msichana na ushahidi anao
Kuna mama alikuwa mke wa mpangaji mwenzangu,aliponizoea akawa anakuja tunaangalia video usiku.Siku Moja miliweka Blue tukawa tumachek alipoanza kujikunyata nikala kimasihala.Ingekuwa US kumbe angewesa kulianzisha.
 
Katika pita pita zangu huko nimekutana na taarifa kuwa kuna binti mwingine kamfungulia mashitaka kuwa alimfanyia unyanyasaji wa kingono mwaka 1991 huku akirekodi hilo tukio.
Kama ni kweli hili nililitegemea, ukimlipa mmoja atakuja mwingine na mwingine.
Kuna tetesi pia alimwambukiza STDs usher kwasababu alikuwa akimnyanyasa kingono wakati akiishi naye usher akiwa minor.
Kiutani utani yanaweza kuja kumkuta ya Rkelly
You mean Usher Raymond naye alimgekul?
 
Kuna mama alikuwa mke wa mpangaji mwenzangu,aliponizoea akawa anakuja tunaangalia video usiku.Siku Moja miliweka Blue tukawa tumachek alipoanza kujikunyata nikala kimasihala.Ingekuwa US kumbe angewesa kulianzisha.
USA wana mambo ya ajabu sana, bongo mpaka mtu afikie uzee atakuwa amekula wanawake wasiohesabika na wengine kusahaulika. Sasa ukute ulimla demu huko ujanani ukasahau, ukubwani anakuibukia kuwa ulimla vibaya anataka umlipe fidia kwa kumdhalilisha, wabongo wangekoma na ngono za kizembe zembe kwa kuhofia sheria hiyo endapo mwanamke uliyemsasambua ataamua kufungua mashitaka ya kudhalilishwa
 
Back
Top Bottom