Rapper Lil Durk akamatwa kwa mauaji, ni utamaduni wa ovyo wa marapa weusi kuimba muziki wa kuhamasisha uhalifu na wao kuona fahari kuishi maisha hayo

View attachment 3136822

Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot

mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family) kulipiza kisasi cha king von wenyewe wanaita (slide for von) kutoka chicago mpka los angeles kwenda kumuua quando rondo akiwa kwenye kituo cha mafuta lakin ikashindikana wakamuua binamu yake na Rando

Mapolisi wakaanza kufuatilia hii ishu wakaweza kumbananisha moja wa member wa kundi la OTF awe amamsnichi Lil Durk, Mapolisi wakamwambia awe anawasha recoeder anapozungumza na Lil Durk wakiwa kwenye Gari, Nyumbani kwake, Party, n.k. sasa hapa itakuwa Lil Durk kapayuka mara kadhaa ile ishu ya kutaka kumuua Rando na kumuua binamu yake na pengine kutaka kujaribu tena kumuua Rando, Hakuna mtu anaeaminika mtaani, Huyo member wa OTF itakuwa alitishwa atafungwa maisha jela kwa kesi ya mauaji halafu akiangalia pembeni ana famili, cha kufia nini ? akaamua amchome tu Lil Durk.

sasa week kadhaa zilizopita majamaa waliotumwa na durk kumuua quando wamekamatwa, lil durk alikua zake Miami anaskia jamaa zake wamekamatwa aka book ndege mbili kutoka miami kwenda Dubai na nyengine ya kwenda Uswiswi, inasemekana ilikua ni mikakati ya kukimbia nchi ila alikamatwa kabla ya kuanza safar.

Miziki mingi ya Lil Durk inahamasisha mauaji, Uhalifu na matumizi ya madawa ya kulevya na yeye pia anapenda kuishi maisha hayo, mitaa ya Chicago anasifika kwa kuwa rapper aliye ua watu wengi,

Aina ya muziki wanaoimba marapa wa Marekani umeathiri sana wamarekani weusi, Chicago ni jiji lenye wamarekani weusi wengi, jiji hilo linasifika zaidi kwa kuwa na kiasi kikubwa cha uhalifu ikiwemo mauaji baina ya watu weusi, wasanii vioo vya jamii wanahamasisha mauaji, watu weusi wanamiminiana sana risasi.

Achana na movies, hivi ndivyo mambo yalivyo chicago, Hili ni shambulizi la kisasi cha genge

View attachment 3136826
Sasa hivi na hapa Tanzania marap uchwara wataanza kuiga ujinga huu.
 
"...There are two kind of men in black community, black men and niggaz. Niggaz have got to go...". - Chris Rock
 
1. A nigger
Dropout from school willingly , leads a life of violence, their masculinity is determined by killing others, get short and a prison sentence. they are gang affiliated and don't like other niggers success they are envy, narcissistic and they spends a hefty amount of their lifetime in hedonistics activities they push and induce these ideologies through their musics and other forms of intertainments .also They are willing to put extra efforts in quenching competition through death than just talking it out THEY LIVE IN HOODS AND COMMUNITIES.

2. An average black american
LIves in community sometimes starts life in hood but they are earger to leave all of it and they hate everything about nigger lifestyle , hard workers if they follow a career (education or talent) they did it with passion and hard work , they love other peoples and are willing to form connections which in their community will be seen as blasphemous (i.e marrying a white man/woman).

They don't like violence and they are fast to move out of their hoods and back ro civilization at the first smell of success , when speaking they don't use lot of slangs , they like to enjoy their hard earned money and success too but not to the niggers thresholds .

They hate prisons and they are willing to stay as far as possible from troubles that could land them there.

Example of niggers
1. Lil durk
2. Pop smoke (rested)
3. Snoop doggy
4. 50 cent
5. King von (rested)

Example of average black americans
1. Michael jordan
2. Shaquille o'neil
3. Denzel washington
4.serena williums
5.simone biles
6.dominique dawes
7. Floyd mayweather

E.t.c
Utagundua Niggers wako kwenye muziki na Average black Americans wako kwenye tasnia nyingine.

Huenda tatizo ni muziki
 
Will Smith ft. Jaden - Work of Art

I'm a work of art
Baby, look at me
I'm a work of art
Now they framing me
Painting in the dark
For the therapy
I'm a work of art
 
Utagundua Niggers wako kwenye muziki na Average black Americans wako kwenye tasnia nyingine.

Huenda tatizo ni muziki
Good observation ndiyo kazi inayowatoa kwa haraka sana maana wengi ni dropout na oppotunity ya official works hawana hivyo kama mmoja atatoka kimziki basi cycle yake nzima imetoboa .
 
1. A nigger
Dropout from school willingly , leads a life of violence, their masculinity is determined by killing others, get short and a prison sentence. they are gang affiliated and don't like other niggers success they are envy, narcissistic and they spends a hefty amount of their lifetime in hedonistics activities they push and induce these ideologies through their musics and other forms of intertainments .also They are willing to put extra efforts in quenching competition through death than just talking it out THEY LIVE IN HOODS AND COMMUNITIES.

2. An average black american
LIves in community sometimes starts life in hood but they are earger to leave all of it and they hate everything about nigger lifestyle , hard workers if they follow a career (education or talent) they did it with passion and hard work , they love other peoples and are willing to form connections which in their community will be seen as blasphemous (i.e marrying a white man/woman).

They don't like violence and they are fast to move out of their hoods and back ro civilization at the first smell of success , when speaking they don't use lot of slangs , they like to enjoy their hard earned money and success too but not to the niggers thresholds .

They hate prisons and they are willing to stay as far as possible from troubles that could land them there.

Example of niggers
1. Lil durk
2. Pop smoke (rested)
3. Snoop doggy
4. 50 cent
5. King von (rested)

Example of average black americans
1. Michael jordan
2. Shaquille o'neil
3. Denzel washington
4.serena williums
5.simone biles
6.dominique dawes
7. Floyd mayweather

E.t.c
Umenikumbusha movie ya Coach Carter, amewasaidia wachezaji wake kuweka juhudi mpaka kwenye masomo na si kwenye basketball pekee yake ambao majority walikuwa Black, na akafanikiwa.
 
1. A nigger
Dropout from school willingly , leads a life of violence, their masculinity is determined by killing others, get short and a prison sentence. they are gang affiliated and don't like other niggers success they are envy, narcissistic and they spends a hefty amount of their lifetime in hedonistics activities they push and induce these ideologies through their musics and other forms of intertainments .also They are willing to put extra efforts in quenching competition through death than just talking it out THEY LIVE IN HOODS AND COMMUNITIES.

2. An average black american
LIves in community sometimes starts life in hood but they are earger to leave all of it and they hate everything about nigger lifestyle , hard workers if they follow a career (education or talent) they did it with passion and hard work , they love other peoples and are willing to form connections which in their community will be seen as blasphemous (i.e marrying a white man/woman).

They don't like violence and they are fast to move out of their hoods and back ro civilization at the first smell of success , when speaking they don't use lot of slangs , they like to enjoy their hard earned money and success too but not to the niggers thresholds .

They hate prisons and they are willing to stay as far as possible from troubles that could land them there.

Example of niggers
1. Lil durk
2. Pop smoke (rested)
3. Snoop doggy
4. 50 cent
5. King von (rested)

Example of average black americans
1. Michael jordan
2. Shaquille o'neil
3. Denzel washington
4.serena williums
5.simone biles
6.dominique dawes
7. Floyd mayweather

E.t.c
Kinachowagharimu black Americans ni culture yao wanayo embrace. Ni culture ya kihuni.

Wakiwa shule wenzao baadhi wakijaribu kuongea kiingereza fasaha wanawakejeli na kuwaona ni wahaini na wanajifananisha na wazungu, wanataka waongee Ebonics.

Wakiwa shule hawaleti juhudi kwenye masomo wengi wao wanaenda shule kwa masomo ya michezo. Huwa hawaamini katika elimu wanaona ni ujinga.

Thomas Sowell who is an American economist, social philosopher, and political commentator alisema; "it's not being black; it's a way of life". Kwa bahati mbaya nao jamii ya black Americans wanamuona ni black anayejifanya mzungu, yaani amehasi Uweusi.

Ukiangalia black waliyokulia kwenye mazingira ya wazazi/mzazi aliyesoma na kujielewa ni ngumu hata kama mwanaye yumo kwenye tasnia ya muziki kuwa na aina ya muziki wa kihuni na kuhamasisha uhuni, mfano mzuri Wiz Khalifa.

Wiz ameishi Ujerumani, Uingereza, Japan n.k baadaye mzazi wake aka settle Pittsbugh. Wiz Mbali na kuvuta bhangi huwezi kumkuta na kesi za ajabu ajabu au kuwa kwenye magenge ya ajabu ajabu ya kihuni. Hata aina yake ya mziki anaoufanya ni wa tofauti.

Halafu wanalalamika waafrika wakifika US hawataki watoto wa kiafrika wachanganyane nao. Wanasema waafrika hawatupendi, eti sisi hatuna tabia nzuri ni wahuni na tutawatoa watoto wao kwenye malengo.
 
True na kuna maneno wanatumia kama uncle tom na white washed kuwa cartegorize wale black americans ambao hawafuati maisha ya gang na wanajielewa
 
Nasikia Kuna sehemu ipo Chicago inaitwa O Block ni balaa
O block ndio wamezaliwa na kukulia hawa kina Lil Durk, pamoja na maraoa wengine wa Chicago kama King Von marehemu na Cheef Keef. Ndani ya majengo ya O block ambapo kulivyo ni kama vile Zile nyumba za michenzani Zanzibar au kota za urafiki kunatokea mauaji kila siku na ni eneo ambalo linaongoza kwa mauaji kuliko maeneo mengine yote Marekani
 
Ndio maana namkubali sana Hopsin

The term "real nigga" is publicly used
And I need to know what it means, 'cause I'm fuckin' confused

Are you one for always bustin' your tool
With nothin' to lose and somethin' to prove
To homies up in your crew?

Is it because you're sellin' drugs to get loot
And brag about how you done been shot and stabbed

Like it's fun to be you?

Ill Mind Of Hopsin 5
namkubali sana uyu jamaa kutoka
 
Black Americans halafu kujifanya innocents na wanaongoza kwa crime rates
Hao jamaa huwa ni kama Wana criminal DNA wao kwa wao wanauwana sana sana, unaambiwa karibia ya 95% ya mauaji ya watu weusi huwa yanafanywa na weusi wenzao, ila siku ikitokea mmoja wao akauliwa na white Inakuwa ni habari ya dunia Tena wanajifanya kuungana eti wanaonewa....

Ukiwaelewa maisha maisha yao jinsi yalivyojawa na gun violence huwezi hata kuwaonea huruma.
 
Ndio maana ile movement yao BLM niliona upuuzi tu na utapeli black Americans wanasababisha watu weusi tuonekane hamnazo
 
Ile movement ilianzishwa na wanasiasa wa mlengo wa kushoto kwa ajili ya manufa yao ya kisiasa na Wala lengo hata sio kumsaidia mtu mweusi...!!

The whole BLM movement was actually orchestrated purposefully to be used as a political weapon by the leftists to fight far-right wingers nothing more
 
Back
Top Bottom