Rapper Mmarekani aitwae P and B Rock Amepigwa Risasi na Kufariki

Rapper Mmarekani aitwae P and B Rock Amepigwa Risasi na Kufariki

Pia watu wanashuku kwamba girl wake atakuwa kapost location makusudi....kwa sababu siku zilizopiza jamaa alimbadilishia demu wake password ya account ya insta...
So who knows maybe alipost location kimakusudi...na pia pnb aliponea kuuwawa juzi juzi tu
kwani alikua WANTED na akina nani ?
 
Vifo vya mauaji na vinavyosababishwa na madawa vimekuwa vingi na vya kawaida miongoni mwa marapa huko Marekani.
 
so sad kwanza kuna video yake kalala chini baada ya kupigwa risasi so sadi yani...mtu anamrecord baadala ya kumsaidia
Rip pnb rock🕊️
Nimeiona pia.

Kuna watu kwao hawaoni tabu yoyote kumuua binadamu bila hata sababu au kwa sababu za kipumbavu.

Nimekumbuka mauaji ya Big L nilisoma kuwa alipigwa risasi tisa usoni na kifuani mwaka 1999, na rafiki yake wa utotoni ndie alikuwa mshukiwa wa mauaji yake. Huyo rafiki yake nae aliuawa mwaka 2016.
 
Back
Top Bottom