Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Duuh mkuu umenikumbusha kuna video kina Snoop Dogg waliwahi kuliponda hilo group na rap style yao daah

Kiukweli rap style ya wakongwe wa enzi hizo ilikuwa poa sana sema si unajua tena vijana wa siku hizi

Anyway apumzike kwa amani niliwahi kuwa shabiki yao enzi hizo ndiyo wanatoka na wimbo wao wa versace ila walivyoendelea nikawa siwaelewi
 
Ukweli ni kwamba mauaji na violence limekuwa ni jambo la kawaida sana katika Hip hop sio sasa bali tokea hiyo zamani.
 
YE aliposema alitukanwa
 
Snoop aliwachana sana na mimi nilimuunga mkono siku ile
 
Gun violence huko US imekuwa kitu cha kawaida, ila hawa wana wanauana wakiwa bado wadogo mno kiumri...
Extrovert
 
Polo G - i know
"My dawg was one of a kind a type rare"

REST EASY BRO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…