Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

COOLIO..
baadhi ya hayo maneno yapo kweny ngoma ya gangsta in paradise
 
We hupajui marekani mkuu, wazungu hawanaga mda na wanamuziki wa hip hop, marekani unavyoiona na ukipata nafasi ya kwenda kuishi ni tofauti na unavyoiona

Ni ngumu sana wazungu kukubali wewe kama mtu mweusi unless uwe exceptional, Kuna wazungu kibao hao wakina Jay z na wasanii wa hip hop hata hawawajui na hawana mda nao
 
Black niggas wamejaa roho mbaya na wivu mno kwa wenzao wakitoboa kutoka hood, haijalishi ukiwa kwa gang au lah, kuwindwa kupo palepale.
Ndiyo maana kikawaida ukifanikiwa kwa hood hama mapema kabla hujaanza kuwindwa na mara nyingi wengi wa rappers huhamia ushuani beverly hills, california. Migos walikuwa ni rappers wa kujichanganya kwa hood sana wakifikiri ni kitu kinachowaweka karibu na jamii kumbe kinaqamaliza.
 

Mkuu zaidi ya series na kifuatilia matukio yao sina kingine nikijuacho 😁😁 siijui Chicago wala brooklyn

Naelewa Racism ni nzito na Blacks ni blacks tu mbele ya white American lakini blacks wanachokihofia ni CANCEL CULTURE ambayo ipo strong sana huko

Leo ukiwa rapper, wanaweza wasiwe na time na muziki wako lakini ukifanya ujinga wanakuundia zengwe la kuua career yako
 
Ukiwa rapper ndo wanakuwinda mno, kiufupi ngozi nyeusi tumejaa wivu mno
 
Marekani ni nchi nzuri lakin ukifanikiwa kwenda Kuna sense utakua unafeel you're not belong there
 
Sikapendi kale katoto na kufa katachelewa kwakua genge zake zinahusika na mauaji ya rapa wengi mfn.MO3
Na kanaishi km kunguru, kanaishi kwa kujificha muda wote.
Halafu isitoshe hakawezi kufa mapema maana kanalindwa na serikali(FBI & CIA) kutokana na kuwataja members wa Nine Trey Gangstar(NTG)
 
Na member mwenzake wa kundi moja, wote wamepigwa Risasi, walikua wakicheza mchezo flani mtaani, kukatokea mabishano, jamaa akachomoa Bunduki.
Quavo hajapiwa wala kudhurika popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…