Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtayarishaji una bifu na afande sele nini au unataka kusema zile tuzo za hiphop alibebwa!!!
Yupo no.5 ni Father Nely(RIP) juzi niliweka lycs za Nini Dhambi kule juu la Siasa sikuelekakuna jamaa nmemsahau alikuwa ktk kundi X-Plastaz ni hatari
Muandishi ambaye umesikiliza rapers wa kizazi chako tu cha kuanzia 2010 usiseme rapers of all time utawakosea heshima.
kuna Vichwa vitatu viliimba msimamo kati ya vile lazima atoke raper of all times. Na ni wazi Prof mpaka leo kasimama. Lazima awe no 1. Huyu ni.baba wa mapinduzi wa hiphop na mziki wa kizazi kipya bongo.
ha ha ha dogo sasa hata uko mbona montana ni wakawaida tu! kule kuna kendrick kwa sasa ndo anaandka kwa zama hzi[/QUOTE
French Montana na Kendrick Lamar mbona mapula tu hao. sikiliza hawa sasa:-
YG
Lil reese
Fat trel
Chief keef
Fredo santana
Migos
Young dolph
Philthy rich